Msaada: Mahari kwa wasambaa inatolewaje?

Msaada: Mahari kwa wasambaa inatolewaje?

Habari wana MMU, kuna rafiki yangu anajiandaa kwenda kujitambulisha ukweni Lushoto Tanga, sasa alikuwa anaomba msaada wa mtu anaejua utaratibu, na hata kuorodhesha vitu vinavyotakiwa kwenye mahari kwa kabila la wasambaa, atashukuru.

Kama mko serious nitafuteni hata kwa pm! Sitanii
 
Ila nishakua na demu wa kisambaa.kama aujamtorosha autaweza kumuoa.kwao ukila mzigo ndio unatakiwa uoe.alafu wanajua ustarabu.wakijua ndio una mgegeda binti yao hawana shida unapewa
 
Kama ni kule kizara unaweza kukutana na vitu kama mkwiji wa babu, mahari ya mama, kifuta uchumba, kitenge cha bibi, kilinda zizi la babu, mahari ya mama na vikorombwezo vingine viingi.

Kikubwa ni kutunisha wallet tu.
 
Kizara ya mbuzii au? Wasambaa wala hawako hivyo vitu vingi thamani yake huwa ni ndogo sana na ukijumlisha vyote wala haifiki million
 
Ila nishakua na demu wa kisambaa.kama aujamtorosha autaweza kumuoa.kwao ukila mzigo ndio unatakiwa uoe.alafu wanajua ustarabu.wakijua ndio una mgegeda binti yao hawana shida unapewa

Acha kutusingizia wewe
 
Wazawa muongo kama hujui hujui tu na co kmuongopea mwenzio pumbaaavu zako.
 
Back
Top Bottom