Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,296
- 5,248
- Thread starter
- #61
ahsante boss.Karibu,Umekuja huku?nyumba nenda sakina,tafuta ya 150k per month.
ahsante boss.Karibu,Umekuja huku?nyumba nenda sakina,tafuta ya 150k per month.
eti mkuu hii ya 150k/month inakuwa na sifa gani (yani ni ya aina gani..vyumba vingapi..etc)Karibu,Umekuja huku?nyumba nenda sakina,tafuta ya 150k per month.
Mimi sipendi interaction sanaa, so Njiro naielewa na ninaipenda. Ila zile tope ndiyo majanga.Mie Njiro sijabahatika kuielewa kabisa bora nikae moshono au nigeuze nikalikite sakina kwa idd kule juu niwe napiga stor na mlima meru
Kule masika tope kiangaz vumbi maji kuchimba kisimaMimi sipendi interaction sanaa, so Njiro naielewa na ninaipenda. Ila zile tope ndiyo majanga.
Sakina mwisho Arusha meat, kule kwa Idi nako matatizo tu
Chumbaeti mkuu hii ya 150k/month inakuwa na sifa gani (yani ni ya aina gani..vyumba vingapi..etc)
Auwasa pia wapoKule masika tope kiangaz vumbi maji kuchimba kisima
Moshono usafiri upo hata hadi saa tano usiku. Ni pazuri na kumetulia hamna mambo ya kiswazi.Sina uhakika kwa usiku.
Sebule,chumba 1,choo,jiko ndani.ukibahatika nyingine ulinzi 24 hrs.eti mkuu hii ya 150k/month inakuwa na sifa gani (yani ni ya aina gani..vyumba vingapi..etc)
noted!!!Kuanzia Technical mpaka Arusha meat
Hapo sijui. Na itategemea na eneo
sakina hyo hyo the 1 we r talking aboutHapo sijui. Na itategemea na eneo
Tech wanaruhusu raia? Nyumba zile sio kwa staff wao tuNjiro
Sakina
Phillips
Sanawari ya juu (sio huku chini)
Technical (kapange mle kwenye kota zao) Patam mnoooo
ONLY reserved kwa staff tu ila akitumia janja janja anaweza pata houseTech wanaruhusu raia? Nyumba zile sio kwa staff wao tu
Majengo au Unga Limited