Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,296
- 5,248
Habari wana JF,
Kwa wale ambao wanaifahamu Arusha vizuri, ni Maeneo au Mitaa gani ya kuishi (kupanga nyumba/chumba) ambayo yanalandana na sifa zifuatazo?
1. Sio maeneo ya uswazi/uswahilini
2. Hayana matukio makubwa ya wizi na vibaka
3. Upatikanaji wa karibu wa huduma za kijamii na kiuchumi. (maji, kiosk, etc)
4. Inaweza kuwa nje ya mji ila isiwe mbali sanaa na mjini kivile
5. Haikumbwi na mafuriko wakati wa mvua
Ahsante.