Msaada: M-Pesa MasterCard

Msaada: M-Pesa MasterCard

Philipo D. Ruzige

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2015
Posts
9,429
Reaction score
27,123
Hello Tech. guys.

Nimetengeneza hii M-Pesa Mastercard lakini imekataa kwenye playstore, aliexpress na paypal.

Yoyote ambae ameshwahi kutumia huduma hii kwa mafanikio anieleweshe.

Mana hizo website nikitumia crdb visa card inakubali tu bila shida.

Nimewapigia voda wanasema kama haitaki nisitumie tu niendelee na visa card ya benki.

Regards.
 
Inatakiwa ikubali sehemu zote hizi.

Nadhani kutakuwa na makosa katika kunakili tarakimu husika.

Hakiki.
Asante mkuu. Naomba nirejee kufanya malipo alaf nitaweka screenshots kama ikikataa.

Nitarudi.

Asante Mwalimu
 
Hello Tech. guys.

Nimetengeneza hii M-Pesa Mastercard lakini imekataa kwenye playstore, aliexpress na paypal.

Yoyote ambae ameshwahi kutumia huduma hii kwa mafanikio anieleweshe.

Mana hizo website nikitumia crdb visa card inakubali tu bila shida.

Nimewapigia voda wanasema kama haitaki nisitumie tu niendelee na visa card ya benki.

Regards.
haiwezi kukubali, labda ujaribu kuweka hela si chini ya 10000
 
Hello Tech. guys.

Nimetengeneza hii M-Pesa Mastercard lakini imekataa kwenye playstore, aliexpress na paypal.

Yoyote ambae ameshwahi kutumia huduma hii kwa mafanikio anieleweshe.

Mana hizo website nikitumia crdb visa card inakubali tu bila shida.

Nimewapigia voda wanasema kama haitaki nisitumie tu niendelee na visa card ya benki.

Regards.
ndugu mimi nimefanya manunuzi mara nyingi mpaka juzi nimefanya tatizo toka jana na leo imegoma kabisa.. sijajua ni tatizo la VODA au vip....
 
Inatakiwa ikubali sehemu zote hizi.

Nadhani kutakuwa na makosa katika kunakili tarakimu husika.

Hakiki.
ni kweli mkuu kwenye paypal inagoma mi nimejaribu kulink paypal na mpesacard mara 10. pay pal wakituma code sipatiwi kwenye mpesa messages zangu.
 
Mrejesho: Nimefanikiwa kulipa tayari.

Ahsanteni mliotoa michango yenu.
Screenshot_20181029-175218.jpeg
 
Naomba nielekeze mkuu namna ya kuconnect mpesa na hiyo mastercard
Ingia menu ya m-pesa
*150*00#

Chagua 4- LIPA KWA MPESA

chagua 6- M-PESA MASTERCARD

Chagua 1-TENGENEZA KADI.

--- ukifika hapo utatumiwa kwa njia ya SMS (Nambari ya kadi/tarehe ya kuexpire/VCC ) hizi taarifa ni muhimu ni zibaki kuwa siri yaki. Usitoe kwa mtu yoyote.

Ukimaliza hapo

Ingia tena m-pesa menu
*150*00#

Chagua 4-Lipa kwa M-pesa
Chagua 6-Mpesa-Master card
Chagua 3-Weka pesa kwenye kadi

Ingiza kiasi alaf ukimalizia na namba ya siri ya m-pesa.

Kuanzia hapo upo tayari kuanza malipo.

Pia kumbuka kadi inaisha muda wake ndani ya mwezi mmoja tu.

Pia upo huru kutoa pesa zako toka kwenye kadi kurudi kwenye m-pesa yako freeeeee bila makato yoyote.

Pia kuweka pesa kwa kadi haina makato
 
Bei ya vitu kwenye hiyo mitandao inaandikwa kwa US$ au tshs?
 
Hello Tech. guys.

Nimetengeneza hii M-Pesa Mastercard lakini imekataa kwenye playstore, aliexpress na paypal.

Yoyote ambae ameshwahi kutumia huduma hii kwa mafanikio anieleweshe.

Mana hizo website nikitumia crdb visa card inakubali tu bila shida.

Nimewapigia voda wanasema kama haitaki nisitumie tu niendelee na visa card ya benki.

Regards.
kuna kitu unakosea mzee angalia taarifa vizuri za mastercard yako tena hasa pale pa exp date huwa wanachange kwaio kama unaandika tofaut itagoma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom