Msaada Lugha ya Kifaransa

Msaada Lugha ya Kifaransa

Kwanza hakikisha unampata hata rafiki anaejua. Kwa sababu, kwenye translation, haitakuwa acculate 100%. Huwezi tafsili lugha kwenda lugha nyingine. Kuna masomo ya kifaransa, yapo online. Angalia miziki kifaransa, hata uanze na ya mapenzi. Tafuta mashaili yake na yatafutie maana. Mi kiswahili nimejifunzia movie na magazeti. Nakusanya maneno nakuja kuuliza badae. Kupata watu wa kuongea nao, pia ilisaidia. Pale napokuwa na kosa, wananisahihisha.
Merci beaucoup
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom