wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,051
- 2,463
si wamesema kwenye hii hoteli,laptop za wateja zinapoteaga kimazingira? Au umeamua kumlengeshea ili na yeye aurudie umaskini kama yule mbunge aliyechomewa nyumba yake (kule ambako gesi inatakiwa isitoke)?Mbona hukuweka Budget yako!? Au Sababu kuna waTu wengine hata 200,000 kwao ni Bei Nafuu. Okay ilka kama unaweza kuafford 50 to 60 Maelfu ya Hela. There's one palce tulivu "Hillux" Hapo utafurahia.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums