Oxpower
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 2,181
- 3,115
Naamini wote ni wazima na kwa wagojwa Mungu awape wepesi katika hilo.
Bila kupoteza muda
Naombeni msaada wa hiyo course tajwa kwa vipengele vifuatavyo
1. Wigo wake wa ajira ukoje
2. Wigo wa kujiajiri
3. Mwisho wa course mwanafunz ataweza kufanya nini
Mwisho kabisa kama kuna mtu anaielewa vizuri hii course au ameisoma tafazal nifafanulie kidogo maana sina uelewa nayo wa kutosha.