MSAADA: Kwenye ununuzi wa simu za Vivo

MSAADA: Kwenye ununuzi wa simu za Vivo

yope

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
366
Reaction score
696
Kama kichwa kinavyojieleza, Nimevutiwa na hizi simu za Vivo ila sijawahi kizitumia, kwa wale wanaozitumia vipi "functionality" yake?

Nimepita kwenye page ya Vivo Instagram nikaiona hii simu:
Vivo Y20s specifications zake ni
4gb RAM
128gb storage
5000mAh battery
Bei 637,000/=

Naombe ushauri wenu mnaoifahamu hiyo simu, Mimi siyo mtaalamu sana wa simu ila napenda simu inayokaa na chaji.

Natanguliza shukrani zangu.
 
Nenda katafute Samsung A Series ya 2020 ya bei hiyo na Ram 6, GB 128 utakuja kunishukuru baadae. Samsung wako vizuri sana kwenye simu hizo kampuni nyingine sijui Vivo, Tecno, Oppo n.k bado sana kwa Samsung
 
Kama kichwa kinavyojieleza, Nimevutiwa na hizi simu za Vivo ila sijawahi kizitumia, kwa wale wanaozitumia vipi "functionality" yake?

Nimepita kwenye page ya Vivo Instagram nikaiona hii simu:
Vivo Y20s specifications zake ni
4gb RAM
128gb storage
5000mAh battery
Bei 637,000/=

Naombe ushauri wenu mnaoifahamu hiyo simu, Mimi siyo mtaalamu sana wa simu ila napenda simu inayokaa na chaji.

Natanguliza shukrani zangu.
Hii simu ina Snapdragon 460 max kabisa labda laki 4 haina specs, ZA kuuzwa laki 6.

Redmi 9T ambayo haifiki hata hata laki 4 hapo Kenya ina specs nzuri zaidi.

Kuna Rule Moja mkuu weka kichwani kwako, unanunua simu ya kichina Sababu Sababu ni rahisi unapata specs nyingi kuliko simu za makampuni makubwa, ukiona simu ya kichina ina bei Sawa na za makampuni makubwa haina maana, Galaxy a50 ambayo specs zake ni kali zaidi Unaipata kwa Hio budget, no way Vivo yenye specs ndogo iwe na thamani ya hio hela.
 
ndio maana huwa tunapanick mtu kutoa laki 350 ananunua infinix.
 
Hii simu ina Snapdragon 460 max kabisa labda laki 4 haina specs, ZA kuuzwa laki 6.

Redmi 9T ambayo haifiki hata hata laki 4 hapo Kenya ina specs nzuri zaidi.

Kuna Rule Moja mkuu weka kichwani kwako, unanunua simu ya kichina Sababu Sababu ni rahisi unapata specs nyingi kuliko simu za makampuni makubwa, ukiona simu ya kichina ina bei Sawa na za makampuni makubwa haina maana, Galaxy a50 ambayo specs zake ni kali zaidi Unaipata kwa Hio budget, no way Vivo yenye specs ndogo iwe na thamani ya hio hela.
naomba specifications za hiyo galaxy mkuu
 
Kama kichwa kinavyojieleza, Nimevutiwa na hizi simu za Vivo ila sijawahi kizitumia, kwa wale wanaozitumia vipi "functionality" yake?

Nimepita kwenye page ya Vivo Instagram nikaiona hii simu:
Vivo Y20s specifications zake ni
4gb RAM
128gb storage
5000mAh battery
Bei 637,000/=

Naombe ushauri wenu mnaoifahamu hiyo simu, Mimi siyo mtaalamu sana wa simu ila napenda simu inayokaa na chaji.

Natanguliza shukrani zangu.
Hii ni tecno iliyoboreshwa(natania)
 
naomba specifications za hiyo galaxy mkuu
Mkuu ni vyema usubirie galaxy A52 4g, yenye specs hizi.

-soc ni Snapdragon 720G ambayo kwa hii price point ni nzur zaidi
-ram 6 ama 8gb
-storage 128 ama 256gb
-kioo cha Amoled
-waterproof ip67 rating
-camera yenye Ois

Kama Una taka immediately A51 ama A50 sokoni zipo nazo hazitofautiani sana specs ila utapata soc dhaifu ya exynos 9611 na pia camera haina Ois.
 
Nashukuru mkuu, ngoja niisubirie hiyo, ikitoka tujulishane hapa hapa., Inaweza toka lini labda?
 
Kama kichwa kinavyojieleza, Nimevutiwa na hizi simu za Vivo ila sijawahi kizitumia, kwa wale wanaozitumia vipi "functionality" yake?

Nimepita kwenye page ya Vivo Instagram nikaiona hii simu:
Vivo Y20s specifications zake ni
4gb RAM
128gb storage
5000mAh battery
Bei 637,000/=

Naombe ushauri wenu mnaoifahamu hiyo simu, Mimi siyo mtaalamu sana wa simu ila napenda simu inayokaa na chaji.

Natanguliza shukrani zangu.
Mkuu chukua hyo simu japo bei waliyokuambia inatia shaka, hapa ninatumia Y20 plen GB 68 nilichukua kwa Tsh 390k. Sjutii kuinunua hii simu, the best phone ever mchina kutengeneza. Inakaa sana na chrg almost 48 hrs kama data ikiwa off on, yaan ile unawasha unatumia then unazima, na 30 hrs data on 24/7 na full kuchat. Pia kupokea charge haichukui muda mrefu. Binafsi huwa naibust for 20 min nikijiandaa kwenda kazin kama ilikuwa 20% basi ndani ya hizo 20min itakuwa ishafika 60%. Hapo hadi kesho tena, nishasahau kutembea na charg. Alafu screen yake kwa baadhi ya app inakubali kugawika ukawa unafanya vitu viwili kwa wakati mmoja. Kivumbi na jasho ni kwenye camera yake sasa, ina setting ya bhoke inapiga kwa kufokasi object huku sehem zingine zinaonekana kwa mbali. Image inatoka ikiwa higher quality. Unaizoom image haipotezi ubora na inakuwa mb kadhaa.
Wife alinunua iphone lakin akiwa na shughuli anachukua vivo yangu. Madhaifu yake ni image za usku tu ndo hazijakaa poa sana

Angalia hyo imagi niliyopiga kwa VIVO

IMG_20210324_133736.jpg
 
Kama kichwa kinavyojieleza, Nimevutiwa na hizi simu za Vivo ila sijawahi kizitumia, kwa wale wanaozitumia vipi "functionality" yake?

Nimepita kwenye page ya Vivo Instagram nikaiona hii simu:
Vivo Y20s specifications zake ni
4gb RAM
128gb storage
5000mAh battery
Bei 637,000/=

Naombe ushauri wenu mnaoifahamu hiyo simu, Mimi siyo mtaalamu sana wa simu ila napenda simu inayokaa na chaji.

Natanguliza shukrani zangu.
Mkuu mimi si mtaalam sana wa kuchambua spesfication kama akina Chief-Mkwawa chukua simu za Xiaomi hutojuta mfano mimi natumia Xiaomi redmi 9c spesfication zake si za kutisha lakini naifurahia sana hivi simu
Cheki hizi picha nimepiga kwa night mode bila flash
IMG_20210326_023049.jpg
IMG_20210326_014633.jpg
 
Back
Top Bottom