42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,835
- 8,914
Hii Bokhe ya kawaida sana.Mkuu chukua hyo simu japo bei waliyokuambia inatia shaka, hapa ninatumia Y20 plen GB 68 nilichukua kwa Tsh 390k. Sjutii kuinunua hii simu, the best phone ever mchina kutengeneza. Inakaa sana na chrg almost 48 hrs kama data ikiwa off on, yaan ile unawasha unatumia then unazima, na 30 hrs data on 24/7 na full kuchat. Pia kupokea charge haichukui muda mrefu. Binafsi huwa naibust for 20 min nikijiandaa kwenda kazin kama ilikuwa 20% basi ndani ya hizo 20min itakuwa ishafika 60%. Hapo hadi kesho tena, nishasahau kutembea na charg. Alafu screen yake kwa baadhi ya app inakubali kugawika ukawa unafanya vitu viwili kwa wakati mmoja. Kivumbi na jasho ni kwenye camera yake sasa, ina setting ya bhoke inapiga kwa kufokasi object huku sehem zingine zinaonekana kwa mbali. Image inatoka ikiwa higher quality. Unaizoom image haipotezi ubora na inakuwa mb kadhaa.
Wife alinunua iphone lakin akiwa na shughuli anachukua vivo yangu. Madhaifu yake ni image za usku tu ndo hazijakaa poa sana
Angalia hyo imagi niliyopiga kwa VIVO
View attachment 1736169
Poor subject isolation.