yope
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 368
- 697
Kama kichwa kinavyojieleza, Nimevutiwa na hizi simu za Vivo ila sijawahi kizitumia, kwa wale wanaozitumia vipi "functionality" yake?
Nimepita kwenye page ya Vivo Instagram nikaiona hii simu:
Vivo Y20s specifications zake ni
4gb RAM
128gb storage
5000mAh battery
Bei 637,000/=
Naombe ushauri wenu mnaoifahamu hiyo simu, Mimi siyo mtaalamu sana wa simu ila napenda simu inayokaa na chaji[emoji3].
Natanguliza shukrani zangu.[emoji120]