Pastory Kimaryo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 967
- 664
Habari za jion wana tech wa JF.
Leo nimeshtuka kidogo, muda wote kwasababu nipo Twitter natumia VPN, sasa kuna muda nilienda Google ile paa nikajikuta nascroll mpaka chini kabisa bwana ee nikaona location nipo huku kwetu maeneo fulan Morogoro nyumban kwetu kabisa, sasa najiuliza hii Google ina exception ya VPN ama ni nini.
Naombe majib.