Msaada kwenye hii Hesabu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kwenye hii Hesabu.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by DASA, Nov 23, 2011.

 1. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Huwa tunakuwa tunakubalina kwamba 1 divide by 0 is equal to infinity. Then why 0 multiply by Infinity is zero and not equal to one!!.

  Mtoto ameuliza nimeshindwa kujibu......... anachong'ang'ania ni kwamba mfano 6/3=2 kwenye hii ukisema 3X2=6 kwahiyo hii inaeleweka kabisa. Sasa kwanini hiyo first case 0 X Infinity isiwe sawasawa na 1!!!.
   
 2. H

  Hau Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwambie by law any number multiples by 0 is zero.'and any number divided by 0 is infinity. But otherwise any action appear in mathematic like second example is part of rule which not consider well by mathematian and there are many example 2+2=4, 2*2=4.
   
 3. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 10,355
  Likes Received: 1,303
  Trophy Points: 280
  mwambie akifika advanced leval atakuja kusoma zero product rule or zero-product property

  but for now ameze tu

  a + 0 = a
  a - 0 = a
  a -a = 0

  where a = any number


   
 4. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 11,973
  Likes Received: 1,748
  Trophy Points: 280
  Ngoja nipe muda kidogo, halafu nitarudi.
   
 5. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #5
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hahahahha.. ngoja tumsubiri Husninyo!!!.
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Nov 23, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 68,250
  Likes Received: 22,874
  Trophy Points: 280
  Mwajuma hebu njoo huku bana utusovie hii hesabu
   
 7. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #7
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Bado kurudi tu!!.
   
 8. Shoo Gap

  Shoo Gap JF-Expert Member

  #8
  Nov 24, 2011
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 233
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  First we have to ask ourself, what does that infinity mean?
  By Examples: 1/1=1 Converse 1*1=1
  1/0.1=10 Converse 10*0.1=1
  1/0.00001=100000 Converse 100000*0.00001=1
  1/0.000 000 000 000 001=1,000,000,000,000,000 Converse =1
  As you divide 1 with a very small # the answer is very big #, If the divider is approaching 0, then the answer cannot be defined, hence when 0 itself the answer cannot be mentioned since is very big number to infinity.

  Let us see Why Infinity * 0 Not equal to 1
  1*0.1=0.2
  1*0.000 001=0.000 001
  1*0.000 000 000 000 000 001=0.000 000 000 000 000 001
  Therefore, 1*very small # approaching 0 the answer is that very small number approaching 0
  Hence, 24*very small # approaching 0 = very small #approaching 0.
  Also, 24*0=0
  The same apply to infinity *0=0
   
 9. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #9
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Duh!!!!!!!!!!!!
   
 10. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #10
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,014
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Ningependa kukusaidia lakini nachelea nisije nikasababisha matatizo zaidi kwa sababu nadhani mtoto wako hajasoma real analysis. Kuna kitu kinaitwa indeterminate forms kwenye real analysis na ndicho kinachotoa jibu sahihi kwa swali lako.

  Hata hivyo iwapo mtoto hajaingia kwenye real analysis, namna sahihi la kumsaidia kwa sasa ni kumjulisha kuwa:

  (a) namba infinity haifuati sheria za kawaida za namba nyingine kama 1, 2 n.k

  (b) Infinity siyo namba moja tu, bali ni namba yoyote ambayo ni kubwa sana.

  (c) Zero pia inaweza kueleweka kuwa siyo namba moja tu, bali ni namba yoyote ambayo ni ndogo sana.

  (d) Kwa vile infinity siyo namba moja na zero pia siyo namba moja, kwa hiyo hakuna jawabu thabiti la 1/0 na jawabu thabiti la 0 x 2. Ila inajulikana kuwa 1/0 ni namba kubwa sana na 0 x 2 ni namba ndogo sana.


  (e) Mpe mfano kuwa jawabu la 1/0.00001 linajulikana kuwa ni namba kubwa(100000), na vile vile jawabu la 1/0.0000000000001 ni namba kubwa zaidi (10000000000000) ingawaje 0 haitofautiani sana na 0.00001 na vile vile 0.0000000000001. Majibu yoye hayo yana sifa ya kuitwa infinity.

  (f) rudisha mfano huo pia kuwa 3x0.0000000001=0.0000000003, na 7x 0.0000000000000001=0.0000000000000007 ni sawa na kuonyesha kuwa 3 x 0 ni 0 na 7 x 0 =0 kwa sababu 0.0000000001 na 0.0000000000000001 ni namba ndogo sana karibu za zero, na majibu yaliyopatinana ya 0.0000000003 na 0.0000000000000007 pia ni namba ndogo sana karibu za zero.

  Kama hataelewa basi mshauri asubirie hadi akishaingia kwenye kiwango cha juu cha hesabu.
   
 11. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #11
  Nov 29, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Duh!! yani hapo sidhani kama tutaelewana.... naona vitu vinajirudiarudia tu.
   
 12. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #12
  Nov 29, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Dah!!! Shukurani mjomba... Ila kazi kweli kweli.
   
Loading...