Msaada kwenye CMS ya Joomla

Msaada kwenye CMS ya Joomla

Wakuu naomba msaada kwa wanaojua extension iliyotumika kwenye site ya chuo Uhasibu Arusha( Welcome to Institute of Accountancy Arusha) ambayo ina blinking red arrow kuonyesha news inayohitaji attention nimejaribu kuitafuta nimeshindwa CC Young Master CHIEF MKWAWA C6 zec na wengine wenye maujuzi hayo

Hiyo ni ANIMATED GIF . Tumia macromedia flash kutengeneza animated image ya gif

ymollel.gif
 
Wakuu naomba msaada kwa wanaojua extension iliyotumika kwenye site ya chuo Uhasibu Arusha( Welcome to Institute of Accountancy Arusha) ambayo ina blinking red arrow kuonyesha news inayohitaji attention nimejaribu kuitafuta nimeshindwa CC Young Master CHIEF MKWAWA C6 zec na wengine wenye maujuzi hayo
mkuu hiyo nahisi ni module ambayo ipo kwenye theme husika (gk_finance_business) nimeiangalia kwenye website ya gavic pro demos nikaona kitu kama hicho, ila kama unataka extension inayofanya hivyo mie sijui maana sijafanya na joomla muda mrefu asee
 
kama umeshindwa kabisa tool rahisi tumia photoscape au kama huwezi na hiyo sema requirement zako utatengenezewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom