SIM
JF-Expert Member
- Oct 25, 2011
- 1,796
- 1,309
Hembu soma kuanzia juu kama utaona mahali nimeandika kuwa ebay utakosa kitu, mimi ndio niliemwambia mdau hapo juu siyo kila kitu unapata bongo kama alivotuaminisha yeye.
Hembu soma kuanzia juu kama utaona mahali nimeandika kuwa ebay utakosa kitu, mimi ndio niliemwambia mdau hapo juu siyo kila kitu unapata bongo kama alivotuaminisha yeye.
mkuu mimi nikijisajili paypal kwa kutumia app yao inagoma nikitumia website kikawaida nikajaza tarehe mwez na mwaka wa kuzaliwa inazngua sijui kwaniniPayPal wahauzi vitu. Isipokuwa wao wanawezesha malipo kufanyika kwa usalama zaidi, wanasimama kati ya mnunuaji na muuzaji. Kwa hiyo muuzaji atapata Fedha tu kutoka kwa mnunuaji, bank details zako zote zinahifadhiwa PayPal muuzaji hataweza kuziona.
PayPal wahauzi vitu. Isipokuwa wao wanawezesha malipo kufanyika kwa usalama zaidi, wanasimama kati ya mnunuaji na muuzaji. Kwa hiyo muuzaji atapata Fedha tu kutoka kwa mnunuaji, bank details zako zote zinahifadhiwa PayPal muuzaji hataweza kuziona.
Kutumia siku ngapi inategemea na njia gani imetumika kusafirisha mzigo wako. Kuna njia zingine ambazo ni International Standard mzigo unaweza kuchukua mpaka siku 60 kufika Dar.
Mimi nilinunua Laptop aina ya HP mzigo ulitumia siku 4 tu kufika Dar, nilitumia kampuni ya USPS huduma yao inayoitwa Priority Mail Express na walinipa trucking number iliniwezesha kuufuatilia mzigo tangu ulipotoka NEBRASKA, USA mpaka Bongo.
Sio lazima mzigo upite Posta. Ukitumia USPS wao watauleta mzigo Posta Tanzania kwa kuwa hawa jamaa ni shirika la Posta la Marekani kwa hiyo wana uhusiano. Lakini kampuni zingine kama DHL, FedEx, EMS, nk hawa watakuletea mzigo wako mpaka unapoishi au Ofisi yako ilipo inategemea na anwani gani ya Makazi uliwapa wakati unanunua bidhaa Ebay au PayPal.