Msaada kwa wataalam wa Safari za Dubai

hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,451
6,325
Habari wakuu,

Naplan kwenda Dubai December, tuko watu 3.

Naitaji msaada wa watu ambao wanauzoefu na safari za Dubai

Napenda kujua ishu za nauli, Visa, Malazi na kwenda kule kwenye jangwa.

Kwa yeyote ambae anajua hizi mambo please naomba msaada wa information zote.
 
Visa inategemea ni siku ngap?
Unaenda kukaa huko

Kodi chumba usikae kwa hotel
Akodi Bed spaces maana chumba gharama akiwa na 1,000,000 malazi na chakula will help him, alafu akiwa na 2000,000 ya kuwazungusha mizinguko mbali mbali kwa per tandu itasaidia

Mwisho kabisa ni Ticket kata ya waafrika japo utasafiri na Unga wa Oboloka wa wa Nigeria haha Ethiopia airlines iko cheap Kama 450$ each go and return ticket

Visa ya week mbili ni 100$ Kama mwezi ni 150$ mpaka miezi 3 kwa kila mtu!!

Ukiwa una shughuli maalumu inayotambulika inakuwia rahis sana kwako kupata visa maana Ma agents wa visa watakusaidia sana kwa confidence bila kuogopa kwamba utakimbia nchi wafungiwe shughuli zao au u overstay walipishwe fine!!!

Ukiwa na 7M mnaenda na kurudi Ila Kama ni mtu wa bajet sana hata 4M inatosha
 
Ngoja niweke kambi
 
Hiz hesabu ni za kukaa muda gan huko Dubai?
 
Habari wakuu,

Naplan kwenda Dubai December, tuko watu 3.

Naitaji msaada wa watu ambao wanauzoefu na safari za Dubai

Napenda kujua ishu za nauli, Visa, Malazi na kwenda kule kwenye jangwa.

Kwa yeyote ambae anajua hizi mambo please naomba msaada wa information zote.
Dubai simple
 
Akodi Bed spaces maana chumba gharama akiwa na 1,000,000 malazi na chakula will help him, alafu akiwa na 2000,000 ya kuwazungusha mizinguko mbali mbali kwa per tandu itasaidia

Mwisho kabisa ni Ticket kata ya waafrika japo utasafiri na Unga wa Oboloka wa wa Nigeria haha Ethiopia airlines iko cheap Kama 450$ each go and return ticket

Visa ya week mbili ni 100$ Kama mwezi ni 150$ mpaka miezi 3 kwa kila mtu!!

Ukiwa una shughuli maalumu inayotambulika inakuwia rahis sana kwako kupata visa maana Ma agents wa visa watakusaidia sana kwa confidence bila kuogopa kwamba utakimbia nchi wafungiwe shughuli zao au u overstay walipishwe fine!!!

Ukiwa na 7M mnaenda na kurudi Ila Kama ni mtu wa bajet sana hata 4M inatosha
Plus, kupata chanjo ya C19 inayokubalika kule
 
hp4510

hotels itategemea na budget zenu, ila zipo kuanzia drh 120 kwa kichwa, ambayo kibongo bongo ni kama 85 hivi, kwa zaidi ya mfuko wako utakavokua mzuri ndivo utakapopata hotel nzuri zaidi.
Lazima uwe na certificate ya kipimo cha Covid -19, na wakati wa kurudi pia utatakiwa upime kule kule nahisi gharama zake kwa kule ni kama 60,000/-. ukujisahau na kufika uwanja wa ndege kule bila ya kuwa na certificate ya kupima covid 19 hawakuruhusu kuondoka.
masuala ya visa tafuta ma travel agency wakaribu, wengi wanafanya hizo ishu za kutoa visa. nahisi 100$ .
 
Akodi Bed spaces maana chumba gharama akiwa na 1,000,000 malazi na chakula will help him, alafu akiwa na 2000,000 ya kuwazungusha mizinguko mbali mbali kwa per tandu itasaidia

Mwisho kabisa ni Ticket kata ya waafrika japo utasafiri na Unga wa Oboloka wa wa Nigeria haha Ethiopia airlines iko cheap Kama 450$ each go and return ticket

Visa ya week mbili ni 100$ Kama mwezi ni 150$ mpaka miezi 3 kwa kila mtu!!

Ukiwa una shughuli maalumu inayotambulika inakuwia rahis sana kwako kupata visa maana Ma agents wa visa watakusaidia sana kwa confidence bila kuogopa kwamba utakimbia nchi wafungiwe shughuli zao au u overstay walipishwe fine!!!

Ukiwa na 7M mnaenda na kurudi Ila Kama ni mtu wa bajet sana hata 4M inatosha

Apande Emirates ni cheap zaidi kisha ni direct flight 5 hrs only , Ethiopia airline unazunguka

F6FDF8F5-D994-4360-AB54-8FB9760135D8.jpeg
 
Back
Top Bottom