PERAMIHO YETU 1
JF-Expert Member
- Dec 12, 2025
- 336
- 675
Ndugu wanasheria wote mlioko humu naomba mnipe muongozo juu ya jambo hili kwani kila kitu kipo wazi toka September jukwaa hili lilifungwa na December hii ilitakiwa lifunguliwe lakini bado.
Sasa kama JamiiForums ilitimiza hukumu na sisi Wanajamiiforums, TCRA haijatimiza wajibu wake hvyo kuna uvunjwaji wa sheria hapa.
Hivyo naomba msaada wa kishera juu ya hili kama member wa jamii forums ambaye nanyimwa Uhuru wa habari
Asanten sana