ngongoti2000
JF-Expert Member
- Nov 20, 2017
- 2,233
- 2,161
Wanajua kitakachofuata ni kuchangisha nauli kwa wananzengo, hapo sasaUnajua kuna watu (haters) wapuuzi wachache wanajaribu kupotosha.. Sasa hapo mimi nataka nitapeli nini hapa kwa mfano
Nilichoomba ni msaada kwa mtu aliye polisi na kituo nimetaja.. Kuna watu upunguani umewajaa vichwani...
Kuna namba ya askari nimeweka hapo juu pls jaribu kucheki naye
+255692604026
Huu utapeli wa kuelekea Christmas ni hatari
naamini katika mashaka yako lkn kupitia akaunti ya huyu mjuvi sina shaka naye. ni ktu makini sana, tujifanye kupoteza kwanza tutoe msaada unaohitajika, maana sio kila tulichonacho tunakitumia ipasavyo kama tulivyopangilia.Huu mtandao umekuwa na majambazi mengi sana..hii ni aina ya ujambazi mmoja wapo..
Mtu ataliwa hapa
ale unapopata mgeni ambaye ni liability huna kitu ndani au mgeni mwenye msema hovyo kila kitu anachokikuta kwako kiwe kibaya ama kizuri anakwenda kutangaza inabidi ujibizefy na njia moja wapo ya kujibizefy ni kusema nimesafiri kikazi au nipo nje ya mjiWapuuzi huwa hawajibiwi mpotezee
Mshana sidhani kama huna ndugu dar au Rafiki ambae unaweza mpa hii taarifa akafika hapo kituoni kumsaidia...
Bila shaka natumai upo hapo msata umeshindwa kupanda gari kuja kumsaidia huyu rafiki yako kweli??
Kama amepata msaada ni jambo la kheri, hii taarifa nimeiona muda huu ningeweza fika hapo kituoni ili kujua nimsaidie vipi...Ni rahisi sana kuandika haya bila kutafakari uhalisia.. Anyway iko hivi kupitia post hii msaada umepatikana
Huu mtandao umekuwa na majambazi mengi sana..hii ni aina ya ujambazi mmoja wapo..
Mtu ataliwa hapa
Ficha upuuzi wako....vitu vingine bora kupita kimya kimya