Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
Umemaliza kila kitu... Bro mshana kwa ukongwe wako mjini sidhani kama unakosa mtu wa kumsaidia huyo jamaa kama kweli kaja tz kwa ajili yako
Lakini amesema kbs yuko mbali!
Umemaliza kila kitu... Bro mshana kwa ukongwe wako mjini sidhani kama unakosa mtu wa kumsaidia huyo jamaa kama kweli kaja tz kwa ajili yako
Pole kwa roho yako mbayaHahahahaaaa wajinga hawatoisha nchi hii
Inaonekana ni mgeni na pwan na maeneo ya beach so kupata wenge na kuanguka inawezekana kulingana na maelezo ya mtaalam Mshana jr.Labda pengine katika background yake anasumbuliwa na kifafa
Yap yeye yuko mbali bt mjini hapo ana wadau wa kutosha tu ambao angemlengesha jamaa chap tu wangempa tag...Lakini amesema kbs yuko mbali!
Yap yeye yuko mbali bt mjini hapo ana wadau wa kutosha tu ambao angemlengesha jamaa chap tu wangempa tag...
Jf ni last refuge labda sababu kuubiwe bkoz kamjulia jf basi wadau wa jf ndo wahusike.. Ila naamini msaada ushapatikana by now
hapo sawa chiefHii ishu ni ya tangu jumamosi na mimi nimeiweka hapa jana... Kwahiyo hizo siku nne zote zilizopita kuna wadau wangu wameshatoa support sana
thanks,will doUnajua kuna watu (haters) wapuuzi wachache wanajaribu kupotosha.. Sasa hapo mimi nataka nitapeli nini hapa kwa mfano
Nilichoomba ni msaada kwa mtu aliye polisi na kituo nimetaja.. Kuna watu upunguani umewajaa vichwani...
Kuna namba ya askari nimeweka hapo juu pls jaribu kucheki naye
+255692604026
Kijana kuwa makini sana na watu waliowekeza muda ktk mitandao..
Watu wa namna hii mara nyingi no wale waliokataliwa na jamii zinazowazunguka..hivyo hutafuta eneo la ku-fit na ndio sababu wamerundikana mtandaoni humu.
Amini nakuambia wasinge onyesha mashaka yao..ulikuwa unakuja mchango hapa
Jitahidi kutumia ujinga wako vizuri kama unakupa faida.
Hufai shemelaTumia tunguli tu mkuu kumsaidia.
Aisee..
Pole zangu zimfikie.