Msaada kwa ndugu yetu huyu

Msaada kwa ndugu yetu huyu

Mkuu ni Likusenguse karibu na Sasawala Magazini.

Ukisema Lingusenguse unakua unakosea mkuu.
pls inbox me tuangalie jinsi ya kusaidiana ili mwenzetu arudi kwake,binafsi ninakuamini kuwa mkuu huwezi kabisa kufanya kitendo cha kutaka kutapeli kwa kutumia issue ndogo kama hii,mimi ninaoganise wenzangu wa hapa Lingusenguse ili to try to make a small difference.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom