Msaada kwa ndugu yetu huyu

Msaada kwa ndugu yetu huyu

Unajua kuna watu (haters) wapuuzi wachache wanajaribu kupotosha.. Sasa hapo mimi nataka nitapeli nini hapa kwa mfano

Nilichoomba ni msaada kwa mtu aliye polisi na kituo nimetaja.. Kuna watu upunguani umewajaa vichwani...
Kuna namba ya askari nimeweka hapo juu pls jaribu kucheki naye
+255692604026
Wanajua kitakachofuata ni kuchangisha nauli kwa wananzengo, hapo sasa
 
Huu mtandao umekuwa na majambazi mengi sana..hii ni aina ya ujambazi mmoja wapo..

Mtu ataliwa hapa
naamini katika mashaka yako lkn kupitia akaunti ya huyu mjuvi sina shaka naye. ni ktu makini sana, tujifanye kupoteza kwanza tutoe msaada unaohitajika, maana sio kila tulichonacho tunakitumia ipasavyo kama tulivyopangilia.

ifuke sehemu watanzania turejeshe ule moyo wa utu wa kupenda kusaidia pasna kuhojo hoji. hata kama ni umasikini au tuite kuokoa matumizi ila kitendo cha kuhoji kwa hisia za kukwepa kusaidia inaonesha tunaishi maisha ya kukata tamaa. naanza kuhisi huko mbeleni tutaanza kunyimana kukaribishana lunch au chai kisa unaogopa 'kupigwa' kitapeli.

pole sana mkuu Mshanajr najaribu kuvaa moyo wako unawaza vipi endapo jamaa atakuwa amefile taarifa kwenye mitandao ya simu na diary kuwa naenda tz kwa msaada wa mwenyeji wangu mshanar, kisha akaondoka nyumbani kwako bila msaada wako yaweza kuleta tashwishwi. wenzetu wanaishi kisomi ziadi.
 
P
Wapuuzi huwa hawajibiwi mpotezee
ale unapopata mgeni ambaye ni liability huna kitu ndani au mgeni mwenye msema hovyo kila kitu anachokikuta kwako kiwe kibaya ama kizuri anakwenda kutangaza inabidi ujibizefy na njia moja wapo ya kujibizefy ni kusema nimesafiri kikazi au nipo nje ya mji
 
Heading inasema MSAADA KWA HUYU NDUGU YETU
hakuna nilipoandika nahitaji msaada kwa niaba yake
Hakuna mahali nimesema asaidiwe fedha kupitia kwangu
Nilichofanya ni kuelezea tukio kwa ufupi na kueleza mhitaji alipo... Lakini akili ndogo wameshaona nataka nitapeli...
Nimeweka mpaka namba ya askari husika na kituo mhitaji alipo
Waelewao maisha wameshajitoa kusaidia na nawashukuru mno
 
Kati ya nyuzi zenye ukakasi ni hii. Anyway Mungu awe nasi sote.
 
robert sendabishaka, Kijana kuwa makini sana na watu waliowekeza muda ktk mitandao..

Watu wa namna hii mara nyingi no wale waliokataliwa na jamii zinazowazunguka..hivyo hutafuta eneo la ku-fit na ndio sababu wamerundikana mtandaoni humu.

Amini nakuambia wasinge onyesha mashaka yao..ulikuwa unakuja mchango hapa
 
Mshana Jr,
Mshana Jr Huyu akipelekwa ubalozi wa Kenya kila kitu kutakua sawa.

The guys are very cooperative kama kuna Jinsi unaweza kuwasiliana na Kenyan embassy watamsaidia Jamaa bila hussle
 
Ni rahisi sana kuandika haya bila kutafakari uhalisia.. Anyway iko hivi kupitia post hii msaada umepatikana
Mshana sidhani kama huna ndugu dar au Rafiki ambae unaweza mpa hii taarifa akafika hapo kituoni kumsaidia...

Bila shaka natumai upo hapo msata umeshindwa kupanda gari kuja kumsaidia huyu rafiki yako kweli??
 
Ni rahisi sana kuandika haya bila kutafakari uhalisia.. Anyway iko hivi kupitia post hii msaada umepatikana
Kama amepata msaada ni jambo la kheri, hii taarifa nimeiona muda huu ningeweza fika hapo kituoni ili kujua nimsaidie vipi...

Kuwa na amani mkuu...
 
Kingsmann,
Umemaliza kila kitu... Bro mshana kwa ukongwe wako mjini sidhani kama unakosa mtu wa kumsaidia huyo jamaa kama kweli kaja tz kwa ajili yako
 
Back
Top Bottom