Habari wana jamvi. Natumaini jumapili yenu ipo poa. Kama kichwa cha habari kinavyosema kwa mwanaume yeyote aliyepata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume akatibiwa na akapona naomba msaada iwe asili au Hospital. Hata ukinijibu pm ntashukuru.
TAFADHALI HUU UZI SI WA MALUMBANO WALA BIASHARA. KAMA UNA CHA KUSEMA USIANDIKE KITU.
Mashine haisamama imara. Goli moja linatoka ndan ya dk chake na siwezi kuendelea tena.
Tatizo limeanza na mwezi sasa na hali inazidi kuwa mbaya.