Mfumo kwa sasa umebadilika na hasa kama anataka kupata ajira serikalini. inabidi uwe na elimu ya kidato cha nne kuweza kuajiriwa kama dereva au fundi serikalini, hii ni kutokana na kanuni za utumishi za mwaka 2003 na hata sheria namba 8, 2002.
Unaweza kumsaidia kwa kumtambulisha katika 'madarasa ya watu wazima' ambapo elimu ya sekondari(o-levo) ataipata kwa kipindi cha miaka miwili na atafanya mitihani ya NECTA-CSEE. Hii ndo njia rahisi itakayomsaidia kuutumia ujuzi wake 'formally' na kuheshimika
Inaweza kweli kuwa rahisi huku PS lakini hata sector hii ni pana mno, mfano, nikikuajiri mm kunipeleka kazini na kunirudisha home usalama wa kibarua chako mara nyingi sana haulindwi na sheria kwani nitakuajiri kama tunavyoajiri ma housegirl/boys huku uswahilini (kwa malipo ya tshs45000/=) kikubwa hapa ni kuwa kama atataka awe na usalama wa kuaminika kazini haijarishi ni kwenye public au private sector ni vizuri akajiendeleza kielemu na kwa kweli siku hizi elimu inapatikana kwa urahisi suala zima ni kunia pekee.Ni kweli mkuu. Ingekuwa ni private sector isingekuwa issue.
Mpe moyo atafte cheti cha 4rm 4 thn itakuwa rahc kwake akasome QT itamsaidia
Mwambie anitafute nimuuzie cheti cha form four aende NIT akapige shule.