Msaada kwa hili..!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Wakuu nataka kum-surprise mpenzi kwa kumnunulia a new sexy pant tatizo sijui jinsi ya kudetermine size yake anayovaa na nikimuuliza itaharibu maana halisi ya surprise. Ila anaendana kidogo na bi mdashi heaven on desert, sorry Heaven on earth sasa sijui kwa makadirio tuki-round off itakua ni size gani.
 
Last edited by a moderator:
Mnunulie tu size yeyote. Hata kama haitamtosha, atajua unamjali. Goodluck with that.
 
Hizi data za 'kiofisi' sio za kifamilia


Kuna data gani za kiofisi zinazohusisha viuno vya wadada.

Ngoja nisiseme sana maana naweza mwagiwa tindikali.
 
muulize huyu anayefanana naye anavaa saizi gani ili umkoshe mkeo?
Swali la kizushi:ushawahi kumlala huyo unayetaka kumpa zawadi au una muda gani naye?
Nalog off
 
Mmmmh
Hivyo vipimo utakuwa ulivijulia wapi?
Au ndo wakati ule unatutembezea tembezea
pale kijiweni kwetu na bado umevikariri hadi leo?

Hongera kwa kusubutu kuweka vipimo hadharani vya chupi ya hawara wa mtu!
Hii post wadau tumeiona kitambo bt tukashindwa kusubutu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…