Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Unikunda [emoji848] toka ini [emoji134][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hangi! heka mbwembwe uteiya kuti nkukunda shana mndee...
Unikunda [emoji848] toka ini [emoji134][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hangi! heka mbwembwe uteiya kuti nkukunda shana mndee...
Vitamu sana kama nini etii?Sisi kwetu tunaita sambia mkuu ni vitamu sana
Sisi kwetu tunaita sambia mkuu ni vitamu sana
Mitowoo matamu sana haya matunda. Karibu iringa ufaidi.Naomba msaada kwa yoyote anayeyafahamu matunda haya na upatikanaj wake Tanzania
Naomba msaada kwa yoyote anayeyafahamu matunda haya na upatikanaj wake Tanzania
Hizi kama vile tangawizi. Nimezoea kijijini kwetu. Majani yake yanaliwa na mbuzi. Siku hizi siwezi panda kwenye mti[emoji28][emoji28] ila miaka hiyo i was soo bad. Napanda nakulaa na zingine naangua. Ama siyo hizi? Ila majan ndo yenyewe mbona na matunda. Tunayaita tangawizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Vitamu yaani vitamuVitamu sana kama nini etii?
[emoji1787] Kweli sio wangu Mangi mbona umepotea hiviShunie huo sio mkono wako!!
Oh tate nane, ni miaka mndee!Unikunda [emoji848] toka ini [emoji134]
Tangawiz si yakupikia chai jaman,mm nina shida nayo nisaidie kuyapata naskia mazuri sana kwa wanawake I want them
WoooiiiiVitamu yaani vitamu