- Thread starter
- #21
Debe moja
Mmh sio sambia hizo bwana sambia ni hiziSambia, nenda Lushoto yapo kwa wingi
Hahahah mnde mwe zina edi, ongaaa!Mmh sio sambia hizo bwana sambia ni hizi
Umenikumbusha mlalo kwetu kuna mti wa sambia ukiamka asubuhi tu unakuta zimeanguka vitunda vitamu hiviView attachment 1332218
Niwedi mghoshi angizeiweHahahah mnde mwe zina edi, ongaaa!

Niwedi, nzakumisi mno! U mwe jf kwei au uzaghua likizo?Niwedi mghoshi angizeiwe![]()
Haya ni Ma fyoksi bila shaka.Naomba msaada kwa yoyote anayeyafahamu matunda haya na upatikanaj wake Tanzania
Naomba msaada kwa yoyote anayeyafahamu matunda haya na upatikanaj wake Tanzania
Mbona yapo mengi tu? Wewe kama unayahitaji, basi weka kiwango unacho hitaji, utalipa sh. ngapi kwa kilo moja, na pia uweke mawasiliano yako. Watajitokeza wengi tu.
Niwedi, nzakumisi mno! U mwe jf kwei au uzaghua likizo?


Uzanimiss baada ya kukuquote nimo humuhumu🤣🤣🤣🤣🤣 hangi! heka mbwembwe uteiya kuti nkukunda shana mndee...Uzanimiss baada ya kukuquote nimo humuhumu
Naya
Jaman anayeyajua anitafute nitampa hela anitumie, matapeli kaeni mbali.
Sasa hili la matapeli limetoka wapi tena? Mimi nimekuambia weka mawasiliano, sasa ukiombwa mawasiliano unaona watu ni matapeli.
Nimesema tu, unajishtukia

ila miaka hiyo i was soo bad. Napanda nakulaa na zingine naangua. Ama siyo hizi? Ila majan ndo yenyewe mbona na matunda. Tunayaita tangawizi
Mmh sio sambia hizo bwana sambia ni hizi
Umenikumbusha mlalo kwetu kuna mti wa sambia ukiamka asubuhi tu unakuta zimeanguka vitunda vitamu hiviView attachment 1332218
Sisi kwetu tunaita sambia mkuu ni vitamu sanaHizi kama vile tangawizi. Nimezoea kijijini kwetu. Majani yake yanaliwa na mbuzi. Siku hizi siwezi panda kwenye mtiila miaka hiyo i was soo bad. Napanda nakulaa na zingine naangua. Ama siyo hizi? Ila majan ndo yenyewe mbona na matunda. Tunayaita tangawizi
Sent using Jamii Forums mobile app