Hii shule ipo sehemu gani au wapi?
niko hapa unataka nikusaidie nini?
Mtu akisema nilisoma nae shule ya msingi songea ni sentensi tata,inaweza kua na maana nyingi,mfano
1. Alisoma nae kwenye shule inayoitwa "shule ya msingi songea"
2. Alisoma nae elim ya msingi mahali panaitwa songea.
Nadhani nimejibu swali lako.
you need to read this book
Get link below for pdf
View attachment 154432
http://cdn.preterhuman.net/texts/re...cult_library/Robury_C-Black_Book_of_Satan.pdf
also you can read this
link below in pdf
View attachment 154433
http://arcticbeacon.com/books/Carr-...ld_(Luciferian_conspiracy_exposed)_(1959).pdf
niko hapa unataka nikusaidie nini?
habari wadau!
kwa muda wa takribani miaka 28 nimekuwa najifunza kuhusu Mungu huyu muumba wa vitu vyote. Na nimekuwa najifunza pia uwepo jba uwezo wa bwana Shetani.
Ili kumwelewa zaidi Mungu nadhani ni muhimu kumuelewa shetani pia. Yoyote mwenye taarifa zitakazonisaidia kumjua shetani anisaidie.

mie namjua shetani wa manchester united au......habari wadau!
Kwa muda wa takribani miaka 28 nimekuwa najifunza kuhusu mungu huyu muumba wa vitu vyote. Na nimekuwa najifunza pia uwepo jba uwezo wa bwana shetani.
Ili kumwelewa zaidi mungu nadhani ni muhimu kumuelewa shetani pia. Yoyote mwenye taarifa zitakazonisaidia kumjua shetani anisaidie.
Akyanani...nimepishana naye sasahivi hapa kariakoo,Kavaa kanzu na midevu mingi,na anaogopa "mnyama"
Usipoteze mda wako kutaka kuwajua mashetani wakati manakutana kila siku wamevaa mashati ya kijani na kofia zimeandikwa CCM.habari wadau!
kwa muda wa takribani miaka 28 nimekuwa najifunza kuhusu Mungu huyu muumba wa vitu vyote. Na nimekuwa najifunza pia uwepo jba uwezo wa bwana Shetani.
Ili kumwelewa zaidi Mungu nadhani ni muhimu kumuelewa shetani pia. Yoyote mwenye taarifa zitakazonisaidia kumjua shetani anisaidie.
Mlikuwa darasa moja na Komba?Shetani nilisoma nae shule ya msingi songea,alikua anakua wa mwisho darasani.
Baadae alihamia mbamba bay,nasikia alikua anakua wa kwanza huko
kwa sasa sijui yuko wapi,mara nasikia watu wanasema anaishi makaburini,mara baharini,mara mbinguni,sijui kwa kweli yuko wapi ila ni mtu mzuri sana.
Kwa vile umemuona shetani,na wewe utakuwa ni jamii moja na huyo shetani.Akyanani...nimepishana naye sasahivi hapa kariakoo,Kavaa kanzu na midevu mingi,na anaogopa "mnyama"
Umekosea! Watoto wa shetani ni wale wezi wa EPA maarufu kama LIST OF SHAME Baba yao kakimbia kijijini kwao Masasi kaenda kujificha Lushoto!Juzi bungeni watoto wa shetani walitajwa pale bungeni ebu fuatilia vzr kwa hawa watoto utapata kujua alipo baba lao!