AMB
JF-Expert Member
- May 31, 2013
- 207
- 67
Habari zenu wana jamvi!
Naomba msaada kwa anaejuwa setting the TOSHIBA CAMILEO SX500, nikipiga picha kawaida zinapotea au hazikai kwenye memory. Lakini ninapotumia auomatic timer picha zinakaa(saved) nipekaa na adha hii muda mrefu naomba msaada wenu wadau. Natanguliza shukrani...