Naomba msaada kwa yeyote anaefahamu mahala naweza pata bunda kubwa za karatasi za Kaki au Nyeupe

Gushleviv

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
3,437
5,146
Habari zenu wadau,

Naomba msaada kwa yeyote anaefahamu mahala naweza pata bunda kubwa za karatasi za Kaki au Nyeupe kama zile wanazotengenezea Bahasha yaani "Paper Rolls".

Natanguliza shukrani zangu za dhati.
paperroll.jpg
paperroll2.jpg
 
Nilizani unataka kuzifanya toilet papaer.kariakoo zinapatikana kwa wingi baba ule mtaa ambako kuna stendi ya magari yanayoenda mnazi mmoja yakitokea luhanga,buguruni na kwingineko ni opposite na stendi ile kuna stationery zimepangana zinauza vitu vya jumla
 
Back
Top Bottom