Msaada kwa anayefahamu hali hii ninaopitia

hakikisha unatembea na hotpot la chakula ukioba kinapubgua wewe ongeza kwenyebpot kikisha usisahauvkua na back upbplan tembea na unga mchele maharage na jiko lako ww ukiona mambo yanapungua ingia jikon pika maana hospitali huzijui wwla huzion sasa kaa pembeni tuhudumie wengine
 
Atembee na pot la kunyea pia usisahau kumwambia
 
kunatatizo latumbo kuuma limenianza kama sikutano hivi

chakula kikipungua kidogo tu tumbo linaniuma kituambacho siokawaida yangu

hapa penyewe linaniuma nafanya hima nikanywe supu ili litulie

shida ni nini wajuzi/wenye uzoefu
mana linanikosesha raha
Inaonekana vidonda vya tumbo (ulcers) vimeanza. Anza kutafuta dawa haraka kabla havijawa tatizo kubwa zaidi. Kwasasa tumia dawa inaitwa Relcer ni antiacid inapatikana pharmacy. Itatuliza maumivu. Epuka vyakula vyenye acid nyingi.
 
hakikisha unatembea na hotpot la chakula ukioba kinapubgua wewe ongeza kwenyebpot kikisha usisahauvkua na back upbplan tembea na unga mchele maharage na jiko lako ww ukiona mambo yanapungua ingia jikon pika maana hospitali huzijui wwla huzion sasa kaa pembeni tuhudumie wengine
mataq wewe kama ujuzi huna kaakimya
 
Inaonekana vidonda vya tumbo (ulcers) vimeanza. Anza kutafuta dawa haraka kabla havijawa tatizo kubwa zaidi. Kwasasa tumia dawa inaitwa Relcer ni antiacid inapatikana pharmacy. Itatuliza maumivu. Epuka vyakula vyenye acid nyingi.
mfano vyakula gani kiongozi
 
Dalili ya awali ya madonda Tumbo fika hospital unye wachukue mavi wayapime waangalie bacteria wanaokusumbua ili uanze kupata dawa sahihi kwa muda sahihi kumbuka ukiwahi mapema utapona mapema mwisho Madonda yanatesa
 
Kuna tatizo la tumbo kuuma limenianza kama siku tano hivi

Chakula kikipungua kidogo tu tumbo linaniuma kitu ambacho sio kawaida yangu

Hapa penyewe linaniuma nafanya hima nikanywe supu ili litulie

Shida ni nini wajuzi/wenye uzoefu

mana linanikosesha raha
Mimba hiyo bibie!
 
Jitahidi kwenda Hospitali tatizo baadhi ya Watu huwa tunakwenda Hospitali hali ikishakuwa mbaya.
 
Inaonekana vidonda vya tumbo (ulcers) vimeanza. Anza kutafuta dawa haraka kabla havijawa tatizo kubwa zaidi. Kwasasa tumia dawa inaitwa Relcer ni antiacid inapatikana pharmacy. Itatuliza maumivu. Epuka vyakula vyenye acid nyingi.
Acid ni chakula cha aina gani mkubwa?
 
Back
Top Bottom