afya na ustawi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hospitali ya Taifa Muhimbili

    JamiiForums Tanzania Muhimbili yabeba jukumu la matibabu ya Dismas Jackson

    Hospitali ya Taifa Muhimbili imeendelea kuwafikia watu mbalimbali wasiokuwa na uwezo ili kuwapatia huduma za matibabu, ikiwa ni kutimiza azma ya Mheshimiwa Rais katika Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ya kuhakikisha huduma za afya zinakuwa jumuishi, bora na zinazoweza kufikiwa na kila mwananchi...
  2. L

    JamiiForums Tanzania "Tafadhali msiwaache wakafa!" Ombi la mama lawafanya madaktari wa China wakimbilie kuwaokoa mapacha Zanzibar

    “Tafadhali msiwaache wakafa,” alinong’ona mama mmoja wa Kitanzania kwa majonzi huku akishindwa kuzuia machozi yanayomtiririka mashavuni. Wakati Wazanzibari wengi wakiwa bado wamelala, daktari mmoja wa China alitimua mbio akikimbilia kwa watoto waliozaliwa ambao wapo kwenye pumzi za mwisho...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayefahamu hali hii ninaopitia

    Kuna tatizo la tumbo kuuma limenianza kama siku tano hivi Chakula kikipungua kidogo tu tumbo linaniuma kitu ambacho sio kawaida yangu Hapa penyewe linaniuma nafanya hima nikanywe supu ili litulie Shida ni nini wajuzi/wenye uzoefu mana linanikosesha raha
  4. I

    JamiiForums Tanzania Vijana na ulevi

    Kila nikirudi nyumbani (mkoani), nagundua dhahiri kabisa kuwa kuna ongezeko kubwa sana ya maduka madogo madogo ya pombe (grocery stores) katoka mitaa mbalimbali tofauti na hali ilivyokuwa miaka 10 au zaidi iliyopita. Hata maduka yanayouza mchele na sukari lazima kuna droo ya kuuza pombe tena...
  5. Poor Brain

    JamiiForums Tanzania Kijana, fanya mambo hayo muhimu kuilinda afya yako

    Hii imetoka kwa mdau mmoja huko jukwaa la afya... Sawa wakuu hakuna kitakachobaki wote tutakufa.. ila zingatia haya kama kijana mwenzangu ambaye ni hustler Ile kauli ya kusema magonjwa fulani ya wazee achana nayo.. ila kuna mambo unafanya wewe mwenyewe ambayo ina take long time ku show sign...
  6. T

    JamiiForums Tanzania SoC04 Afya ni haki: Maono ya kibunifu kwa Tanzania yenye afya na ustawi

    UTANGULIZI AFYA NI NINI? Afya ni hali ya ustawi wa kimwili, kihisia, na kijamii ya mtu binafsi au jamii nzima. Ni zaidi ya kutokuwepo kwa ugonjwa; ni hali ya kujisikia vizuri kimwili, kiakili, na kijamii. Afya inahusisha mambo mengi kama lishe bora, mazoezi, usafi, upatikanaji wa huduma za...
Back
Top Bottom