tumbo kujaa gesi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na tumbo kujaa gesi, kutoa hewa chafu kila dakika na napata choo kigumu

    Mimi nina 24yrs nasumbuliwa na tumbo kujaa gesi, kujamba hovyo kila dakika hewa inatoka chafu sehemu ya haja kubwa, choo kigumu na hili tatizo limeanza tangu Mwaka 2022 mpaka leo 2026. Nishatumia dawa mbalimbali bila msaada wowote nishazunguka hospitali nyingi ila nashindwa kupata dawa sahihi...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayefahamu hali hii ninaopitia

    Kuna tatizo la tumbo kuuma limenianza kama siku tano hivi Chakula kikipungua kidogo tu tumbo linaniuma kitu ambacho sio kawaida yangu Hapa penyewe linaniuma nafanya hima nikanywe supu ili litulie Shida ni nini wajuzi/wenye uzoefu mana linanikosesha raha
  3. Lafacha

    JamiiForums Tanzania Tatizo la tumbo kujaa gesi

    Habari wana JamiiForums. Nimekuja mbele yenu kuzungumza na wale wenye tatizo la tumbo kuunguruma, Mimi ni moja wenu na tatizo hili limenisumbua kwa muda sasa lakini hivi karibuni nimepata nafuu kwa kiasi kikubwa. Mwanzo kabisa sikumbuki tatizo la tumbo kuunguruma lilinianzaje, sijui chanzo...
Back
Top Bottom