Genecandy
JF-Expert Member
- Dec 13, 2017
- 491
- 882
Hbr wapendwa
Kama kichwa cha habari kinavyosema jmn naomba mnisaidie chuo cha mapishi cha veta au kilicho chini ya veta mwanza au mtwara kwa anayefahamu utaratibu wao
Na gharama zao!!
Nipo mbali na mikoa yote miwili nimejaribu kugoogle sijapata info za kuridhisha xo kabla sijaenda naomba mnisaidie japo nipate pa kuanzia!
Kadogo kangu kametoka jkt kaende kakasomee hata mapishi ili kajiajiri!!si mnajua wamesharudishwa na washakaa miaka kadhaa!
Asanteni na ntashukuru kwa michango yenu!!!