Msaada, yoyote anaejua au mwenye uzoefu wa interview za NBS anipe taratibu zake

YABUUU

JF-Expert Member
Aug 14, 2015
1,525
1,409
Jf memba naomba msaada wenu jamani mdogo wangu kesho ataenda kwenye interview za NBS na dodoso la mapato na matumizi kwa kaya binafsi, naomba mdau yoyote aliyewai fanya interview ya NBS au anaejua inteview zao zipoje anipe mambo mawili, matatu muhimu jaman.
 
mdogo wako yupo sehemu gani wakati wewe ukihangaika hapa? acha kutufanya wajinga, wewe nenda tu si uliomba kazi mwenyewe? woga wa nini sasa?
 
Maswali Haya huulizwa sana yanayohusu utafiti husika, 1 . Ajue maana ya kaya Ni nini, 2.wanakaya 3.maana ya utafiti wenyewe ,nibutafiti wa mapato na matumizi ya kaya, lengo ni kutaka kujua hali ya mapato na matumizi ya kaya nzima pamoja na mwanakaya mmoja mmoja ili kuwezesha serikali kupanga mipango ya maendeleo pamoja na GDP. Hayo 4 maana dodoso
 
Back
Top Bottom