Sio Post Bali Blog yako Iwe na Muda wa Zaidi Miezi 3Hivi google wanahitaji uwe na post ngapi ili waweze kukusajili?
Sio Post Bali Blog yako Iwe na Muda wa Zaidi Miezi 3Hivi google wanahitaji uwe na post ngapi ili waweze kukusajili?
Ok yangu ndio kwanza ina mwezi mmojaSio Post Bali Blog yako Iwe na Muda wa Zaidi Miezi 3
nauza adsense nicheki nukuuzieOk yangu ndio kwanza ina mwezi mmoja
Embu nitonye hio template mkuu.KUNA BAADHI YA TEMPLATE ZINAKUBALI KISWAHILI HATA KWA NORMAL ACCOUNT NA HAWAWEZI KUSHITUKA KAMWEE
post kuanzia 100 zenye picha na maneno mi nina post 230 zipo naziuza ndani ya siku 3 wanakubali kiulain af na template inatakiwa ya kwenye blogger na sio za kudownload nicheki 0765321403 au 0675968762 for moreHivi google wanahitaji uwe na post ngapi ili waweze kukusajili?
Naweza kuona sample ya hizo templatepost kuanzia 100 zenye picha na maneno mi nina post 230 zipo naziuza ndani ya siku 3 wanakubali kiulain af na template inatakiwa ya kwenye blogger na sio za kudownload nicheki 0765321403 au 0675968762 for more
zile unazozikuta kwenye blog yako unapofunguaNaweza kuona sample ya hizo template[
Bei gani mkubwa?Nauza AdSense akounti yenye keys kabisa ,na verified .
Wako vizuri kama Adsense?Mkuu ukiona AdSense inazingua usilazimishe na pia usivunjike moyo.
Kuna alternatives nyingi kama revenuehits.com na zipo kibao unaangalia tu we ipi itakufaa.
130000, tayari ina dola 20.Bei gani mkubwa?