Msaada kuusu cource za zinao husu comb ya EGM

Bachelor of science in Mathematics

Bachelor of science with education

Bachelor of education in Mathematics

Hiyo ya mwisho ukisoma utakuja kunishukuru japo ni ualimu, ukiwa nondo hutojutia
 
IT hutakaa ujutie hiyo geomatica ipo ndani ya IT
Japo ulikuwa stressed ila nadhani bado una jambo zuri ulitaka kushare nasi kati ya hizi kozi mbili, yaani geomatics na IT.

Funguka mtu mzima watu tufaidike leo hata kesho.
 
Kwa uelewa wangu ukisemea IT ni pana sana mkuu mana utasoma kila aina ya technology duniani

But geomatics ina deal

mambo ya environmental visualization zaidi (mambo ya uso wa dunia zaidi kama utabili wa hali ya hewa) ikihuaisha kiasi kidogo sana cha IT
Kwa uelewa wangu hapo geography inabidi iwe imelala huku IT hesabu kidogo iwe imelala
 
Shukran sana mkuu, nadhani nitafanya chaguo lililo sahihi zaidi kutokana na michango ya wadau kama wewe.
Shukran kwa mara nyingine...
 
Back
Top Bottom