jooohs
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 3,248
- 12,790
Geomatics na IT huna physics ni bora ukaangalia kozi nyingine usijelia kuwa hujachaguliwa.Shukran sana mkuu, nadhani nitafanya chaguo lililo sahihi zaidi kutokana na michango ya wadau kama wewe.
Shukran kwa mara nyingine...
Ishu kama statistics, economics, actuarial science hii uwe na A advance math,Bcom zote, agriculture economics, land valuation, building economics, math and statistics, education hizi zitakufaa sana.