Msaada kutokomeza wezi?

aQ
Mbona unarahisisha mambo makubwa yawe mepesi, uibiwe halafu bima wakulipe, sawa inawezekana, ila sasa ukichukua mwenyewe ukauza, au kivyovyote vile watakulipaje, tupe elimu ya namna watakavyokulipa.
 
Ishi na wana/majirani vizuri mtaani kwako hao huwa wanawajua wezi. Kama unaishi kivyako pambana na halo yako.
Mimi niliibiwa jaba kubwa lakutekea maji ya mvua j3,nikakaa kimya nikitrace kuwa ni nani haswa nikamhisi dogo flani kwa kuwa huwa tunafahamiana na kweli ni yeye,nikamtembelea kijiweni kwake nikamwita na kumuuliza kiupole ila akaanza kunipa hadithi nikampa ndoige pembeni ya pua akapata akili,akaona huyu jamaa kumbe sivyo anavyoonekana,nilikuwa mwenyewe kumdhibiti kibaka. Akaenda kuonesha jaba lilipouzwa nikachukua mzigo wangu nikamtema tu.
 
Itakua hawakuja siku moja hao, walikuja wakafail wakaja tena, wakarudi, inawezekana mara ya nne ndio wamekuibia
 

Mzee weka Alarm System. Wakisogea tu kitu Alarm inapiga kelele wanasepa wenyewe.
 
Mtu unajiita taekwondo halafu unakuja kulialia humu nakuomba msaada namna gani yakuzibit wezi Kesha siku tatu tu utawakamata hao mbwa vunja shingo.
 
Wanataka challenge na wewe, naskia unajifanya unajua kupiga mateke
 
We utakuwa ulisahau kufunga geti
 
Mtu unajiita taekwondo halafu unakuja kulialia humu nakuomba msaada namna gani yakuzibit wezi Kesha siku tatu tu utawakamata hao mbwa vunja shingo.
Jamaa wanapuliza dawa mkuu..hakuna unachosikiaa
 
Ndio maana sina tv geto. Simu naweka kwenye foronya ya mto kabla ya kulala. Nina kale karedio ka "ze blutus divais" vibaka wakija geto huwa wanaishia kuchukua viatu na mtungi wa gesi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Walishaiba viatu na mtungi wa gesi kama mara nne.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…