Msaada kutokomeza wezi?

Mbwa wako hawajapewa mafunzo ndugu.
Kwenye camera uliwaona wezi wako waliokuibia?
 
Uongo huu..hao walikuwekea security fake. Ile waya inapiga shoti ya hayari na alarm mtaa mzima wataamka. Na seting yake umeme ukiondolewa kwa njia yoyote inapiga alarm hakuna namna wanaweza kufanya kwenye fence ya umeme, labda hiyo uliwekewa ya buza kwa mama kibonge. CCTV camera za sasa hivi kazi yake sio tu kuchukua picha unaweka demarcation mtu akivuka tu eneo ulilozuia ina piga picha,alarm kubwa na inakupigia simu kukuamsha.
 
Hapa umeongea kweli tupu, mbwa hamna kitu, mlinzi wakimkuta km wapo wengi wanamfyeka ingawa kwa mlinzi angalau akiwaotea atapiga hata filimbi kushta watu, majirani, sungusungu wa karibu na walinzi wengine waliopo maeneo ya karibu waje kutoa msaada
 
Ya Buza kwa mama kibonge


Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ile waya ndio inapiga shot na Ina umeme mkali Ila jua kua kuna Chuo Cha wezi na wanapata mafunzo makali hadi jinsi ya kuchokoa zile waya zisifanye kazi na mafunzo hayo wanayapokea kutoka kwa hao hao wenye makampuni ya kufunga waya za electric kwenye majumba ya watu kwa hio zile waya sio kitu
 
CCTV camera za sasa hivi kazi yake sio tu kuchukua picha unaweka demarcation mtu akivuka tu eneo ulilozuia ina piga picha,alarm kubwa na inakupigia simu kukuamsha.
Hapa kwenye kupiga picha hii nimeona mara nyingi ubaya sasa inapiga picha hadi mtu wa hapo hapo, stupid yaan mtu ni wa hapo hapo CCTV lnapiga picha kila mda inapiga picha
 
Hapana apo kwenye electric fence nakataa labda aliefunga hana huo utaalamu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ushauri wangu funga uzio wa umeme kwenye ukuta wako funga na cctv camera wizi utakua historia kwako ingia mitandaoni watafute wataalamu wapo kibao

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo electric fence na CCTV camera wezi wanajua kuzichezea sema tu wasikuamulie, hizo sio kitu kwa mwizi alieamua kukuibia
 
Usikute mke wako alichora ramani na hao wezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…