Msaada kutairiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kutairiwa

Discussion in 'JF Doctor' started by mtengwa, Apr 10, 2012.

 1. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Mimi ni kijana wa kipare, nina miaka 24. Tatizo nililonalo nikua sijatairiwa n naona aibu kwenda hospital kutahiri kwani ntachekwa na vijana wenzangu mtaani. Hii hali inanipa wakati mgumu kwani nashndwa kukojoa mbele ya wenzangu. Nafikiria kwenda kwa kijijini nikae nauguza kidonda. Je inachukua siku ngapi kupona?
   
 2. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Loh!
  Hapo kazi kweli kweli dogo.
  Kwanza ukishatairiwa omba "usidindishe"ukidindisha cha moto utakiona.
   
 3. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,926
  Trophy Points: 280
  mimi nimetahiriwa, nina miaka 32 kwa sasa, ila natamani kama ningekuwa sijatahiriwa hadi leo hii, nisingethubutu kukata govi, kwasababu nasikia kisayansi, sensation za mtu ambaye ametahiriwa na yule ambaye hajatahiriwa katika kufurahia tendo takatifu ni tofauti, yule ambaye hajatahiriwa bado kuna mishipa ambayo haijakatwa, ambayo inamfanya apate raha zaidi. pamoja na kwamba, najua ninepata shida kwa wanawake, hilo lisingekuwa tatizo, nenda kwenye maeneo ya watu ambao hawatahiri utawakuta wanawake waliozoea magovi kule ambao wanaona magovi sio uchafu, utafurahia ndoa, kuliko kumpata mwanamke ambaye anajua kuwa govi ni uchafu ukawa na inferiority ukashindwa hata kuscore...hahaha. na sensation umepunguzwa kwenye mhogo wako. nasema toka rohoni, kama ningekuwa sijatahiriwa, ningeacha tu hadi leo hii, kwasababu ninavyosikia, nimepunjwa raha, ningekuwa nasikia raha zaidi ya hapa ninavyosikia kwasasa kama ningekuwa sijatahiriwa.
   
 4. sixlove

  sixlove Member

  #4
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Kaka mkubwa achana na mambo ya kizushi, cha msingi funga safari ya mbali nenda kafanyiwe tohara kitaalamu, hapa namaanisha hospitali( kama eneo ulipo unaona aibu) magonjwa yahusuyo ngono ni mengi na inabidi kuwa msafi kila baada ya kufanya mapenzi, ama sivyo utapata maambukizo ya magojwa ngono mapema KAMA HUJATAHIRIWA. Inachukua takribani siku 14 kupona kabisa ukizingatia maelezo ya kitabibu, kwa kuwa wewe ni mtu mzima teyari epuka kuwa na hisia za ngono kipindi cha tohara, kwa sababu ukidindisha mara kwa mara nyuzi zinaweza kuachia na kuchelewesha kidonda kupona,


  SEHEMU INAYOCHELEWA KUPONA NI ILE YA CHINI YA KICHWA CHA UUME ILIYO SAMBAMBA NA MSHIPA. BEWARE!!!! BRO, TAKE MEASURE
   
 5. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  duh! Nahiz t.v zetu eisee. Dats y na prefer kijijin
   
 6. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #6
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  me pia demu wangu huwa ana enjoy altho haniambii nikakate bt najish2kia kishenzi
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280
  Weka picha.
   
 8. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #8
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  thanx kaka
   
 9. M

  Mwanyava JF-Expert Member

  #9
  Apr 10, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Unaogopa kuchekwa!!! Nani atakeyejua kuwa umetahiri jana au leo zaidi ya daktari atakeye fanya zoezi hilo? Mimi nimefanya baada ya kumaliza kidato cha 4 na nilikofanyia ni mbali na nyumbani. Usafiri ulikuwa baiskeli. Hivyo niliendesha baiskeli mpaka hospitali na nikarudi naendesha baiskeli hadi nyumbani hata shangazi yangu hakujua kabisa kama nilitoka kufanyiwa tohara na kwamba ninauguza kidonda.
  Wanaume kazi. Punguza uoga.
   
 10. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #10
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mimi mwenyewe nimetahiriwa, ila kwa utafiiti wa tacaids, utanifanya nirudi hospitali niunganishe govi, maana wasije milupo wakatukimbia, noma.
   
 11. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #11
  Apr 12, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Tuma sms WAPI kwenda 15014, haina charge.
   
 12. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #12
  Apr 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Duh:D miaka 24 mkuu bado ako na prepuce? Nenda kwa hospital ukatoange hiyo kitu bt maumivu itaongezeka kwa vile ww ako matured. All the best!
   
Loading...