Msaada: Kurudisha meseji zilizofutwa

Simara

JF-Expert Member
Oct 1, 2014
7,343
23,230
Hello Wakuu, miezi miwili iliyopita nilibadilisha Simu na nikafuta kila kitu kilichokua kwenye simu ya awali.

Bahati Mbaya, nilifuta meseji zilizokua na umuhimu sana kwangu kuna namna yoyote ya kuzirudisha zile meseji?

Simu ya zamani bado ninayo, asanteni.
 
Ndiyo ninayo Mkuu, nisaidie maelekezo yake.
Tutorial hii hapa

Kuna uwezekano mkubwa ikawa ya kulipia, ya kuchakachua hapa.

Kama hujui ya kuchakachua omba msaada kwa mwenye ujuzi kidogo akusaidie kuweka kwenye laptop
 
Hii inaweza kurudisha meseji zilizopotea ndani ya muda gani?
 
Tutorial hii hapa

Kuna uwezekano mkubwa ikawa ya kulipia, ya kuchakachua hapa.

Kama hujui ya kuchakachua omba msaada kwa mwenye ujuzi kidogo akusaidie kuweka kwenye laptop

asante sana , nimeclick kwenye hiyo link ya Tutorial naona ni kwa watumiaji wa Android peke yake.

Haipo ambayo ni kwa watumiaji wa ios??
 
Tutorial hii hapa

Kuna uwezekano mkubwa ikawa ya kulipia, ya kuchakachua hapa.

Kama hujui ya kuchakachua omba msaada kwa mwenye ujuzi kidogo akusaidie kuweka kwenye laptop
Youtube kuna vedio za kutumia hii kitu
 
Tutorial hii hapa

Kuna uwezekano mkubwa ikawa ya kulipia, ya kuchakachua hapa.

Kama hujui ya kuchakachua omba msaada kwa mwenye ujuzi kidogo akusaidie kuweka kwenye laptop
Easeus hua iko vizur kwenye kurecover deleted files niliwah kuitumia zaman, ila zilikua files zilizofutwa bahat mbaya kwenye external hard disk
 
Wakuu hivi watu wa mtandao mf; voda, tigo, na halo hawawezi kurudisha msg. zilizofutwa?

hawawezi nilianzia huko, na hapo nilihitaji text nilizokua nimezituma mimi, ila kwa njia za panya wanafanya vizuri tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom