Software za hacking? Download OS inaitwa Kali Linux, ni open source developed specifically for penetration test (hacking) alafu njoo nikufundishe functions zake kama sqlmap, hapo utajifunza namna ya kucheza na database, kuna command line ukifanikiwa kuingia kwenye database ya victim utaimanipulate as if wew ndo Data Admin.
Then kuna function kama SSL Strip, hii ni maalum kwa kuiba password za computer iliyokwenye system, wanaiita man in middle attack ukifanikiwa kuijua vizuri unaset computer ya victim kila atakachokifanya unakiona.
Alafu kuna metasploit, hii kwa ajiri ya kukomprimise computer ya victim hii ukiweza kuijua unaset code za vizuri ambazo ukiweza kufanikiwa kuingia kwenye computer ya victim unaweza iba doc zote zilizopo kwenye computer. Hapa mara nyingi ili kuingia computer huwa wanategeneza link then wanaisambaza kwa kama vile checkout this you have won... Au free internet... Au vyovyote vile ambavyo raia wanapenda vya bure then akikilick link metasploit anaingia then anaanza kufanya yake kulingana na ulivyomset.
Inshort kwenye kali Linux kuna kila kitu unachokihitaji kwa ajiri ya hacking. Nilipractise kipindi niko chuo nilijifunza vitu vingi vya hacking ila badae niliona ntakufa njaa kupata soko lake, other wise uwe bad guy na nikitu ambacho binasfi sikupenda nikaamua kuachana nayo..
Utakutana na huu msemo " The quiet you become the more your able to hear"