Msaada kupata dakika 15,30,45,nk toka airtel

mwl frank

R I P
Jul 11, 2011
78
27
Nimepata taarifa toka baadhi ya watu tofauti kwamba kuna hiyo ofa,lakini kwangu inagoma,mwenye ujuzi atoe msaada.
 
Hizo ofa ziko za aina nyingi kulingana na bahati yako, kujua aina ya ofa uliyonayo piga bure namba 0783 001 001 sasa upate ofa yako.
 
Hizo ofa ziko za aina nyingi kulingana na bahati yako, kujua aina ya ofa uliyonayo piga bure namba 0783 001 001 sasa upate ofa yako.

NI KWELI HUDUMA HII MI MWENYEWE NILIKUA NAITUMIA ,KAMA MWEZI SASA INASUMBUA SANA ILA KWA WENGINE BADO INAKUBALI.


Jaribu kwa kufungua sehemu ya kuandikia ujumbe mfupi,
andika J250 kama unataka dakika 15
na J500
kwa dakika 45.

Alafu itume kwenda namba 15558.

MUHIMU:
1.Hakikisha un pesa zaidi ya 250 au 500 ili wakate hela yao,I mean ukiwa na exactly amount hawatakupa i.e dk 15 uwe na Tsh zaidi ya 258 na kuendelea kwa dk 45 uwe na zaidi ya 510 na kuendelea.

2.Huduma hii ilikuwa inapatikana mchana kutwa hadi dk zako ziishe ila si zaidi ya saa 1800hrs.



AHSANTENI SANA.
 
Hii mi kwa baadhi ya line, ila hata sisi tulionayo, inasumbua sana. Maana unaweza kujiunga saa 0800 na ukapewa hizo dk saa 1108.
 
Back
Top Bottom