Nawezaje kurestore akaunti ya Facebook iliyodukuliwa (hacked Facebook account)?

bush crazy

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
757
1,020
Habari wakuu! Jamani Kuna ndugu yangu akaunti yake ya Facebook imehakiwa (imedukuliwa) siku kadhaa zilizopita.

Picha lilianzia pale alipotumiwa link kupitia messenger na rafiki yake ambayo ilikuwa na maelezo yahusuyo pesa. Kwamba angejaza fomu iliyoambatanishwa kwenye link angejipatia kitita Cha tsh. Million 1. Mara tu ya kukamilisha kujaza fomu hiyo na kulipia kiasi Cha tsh. 20000.

Bila hiyana mwamba akalipia na kujaza fomu hiyo. Zikapita siku tatu hakuna mpunga unaoingia kwenye akaunti yake ya m-pesa Wala dalili.

Kumbe alikuwa hachati na rafiki yake Bali hackers walio hack akaunti ya rafiki yake. Sasa Jana anashangaa Kila akijaribu ku login Facebook inagoma. Baada ya muda akapigiwa simu na watu tofauti wanaotaka kumrushia fedha kwani walipata jumbe kupitia akaunti yake ya Facebook wakiombwa kiasi Cha fedha ndipo akagundua akaunti imehackiwa.

Naombeni Kama Kuna mwenye utalamu wa kurestore akaunti iliyodukuliwa atupe maujuzi ilitumsaidie mdau kabla jamaa hawafanya Mambo mabaya kupitia ukurasa wake.

NB: Usijichanganye kuclick link usizokuwa na uhakika nazo jiridhishe.
 
Angalia details alizojaza, kama email na phone number,
Na usisahau kureport Facebook
 
Back
Top Bottom