Then inatakiwa hard reset ifanyike kabla ya kuwasha. Vifaa vingi kama router, na electronics ndogo ndogo kunakuwa na tundu ambalo unaingiza kitu chembamba unabonyeza then ina reset angalia na kwako.Mkuu inaanzia hapa kwenye Dell logo then ikimaliza inadisplay sehemu ya passwordView attachment 2079160View attachment 2079162
Sijawahi...Mkuu wewe hujawahi kusahau password?
Sawa nimekupata mkuu pia nimeangalia kitundu kinachopatika nimeona kimoja tu ambacho Ni hikiThen inatakiwa hard reset ifanyike kabla ya kuwasha. Vifaa vingi kama router, na electronics ndogo ndogo kunakuwa na tundu ambalo unaingiza kitu chembamba unabonyeza then ina reset angalia na kwako.
Alternative ni kuchange kifaa kama board ambalo hio password inakuwa stored, na assume kama somewhere kutakuwa na projector kama hio mbovu.
Sio hicho mkuu, nimecheki online haina hard reset button.Sawa nimekupata mkuu pia nimeangalia kitundu kinachopatika nimeona kimoja tu ambacho Ni hikiView attachment 2079284
Sio hicho mkuu, nimecheki online haina hard reset button.
Pia nimeona kuna uwezekano wa kui connect na pc jaribu njia hio nayo. Kama ni usb ama njia nyengine mbadala incase utapata more option huko
Hebu Tembelea hapa mkuuSamahani kwa kuvamia uzi.. Chief mimi laptop yangu Hp probook ina Bios password nimeshindwa kuitoa kwa kuchomoa rtc naomba msaada
Hebu Tembelea hapa mkuu
How to Clear a Laptop BIOS or CMOS Password
How to clear a laptop CMOS password and give you access to the laptop.www.computerhope.com
Kuna njia unakosea password then kuna code inatokea kuna script ya kunegerate pass kutokea kwenye hio code.
We umejuaje kama bios yake ni ya zamani ama mpya? Ametaja model?acha kukalili bios za zamani .hizo ni server na kama utambuliki na IT ya usb uwezi kupewa kibali cha kutoa bios mpya security.
kuanzia Apple icloud bios za mac,dell,hp,IBM na nyengine.
kikubwa kulipa tu ! hakuna lengine hiyo PPID bios
We umejuaje kama bios yake ni ya zamani ama mpya? Ametaja model?
Sasa kama laptop imetoka kabla haujaanza kazi je? Laptop ya 2010 haiwezi kuji update na kuwa na security kama ya 2020.Nimefanya kazi hii miaka 9 na zielewa na kila miaka zinatoka bios mpya kulingana na programming imeshakuwa mda mrefu kwenye kuchezewa na ma hacker