Emmathias
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 678
- 947
Habarini wakuu, nilianza kusumbuliwa na chunusi Toka nikiwa form one 2009, chunusi zikaisha 2018 lakini baada ya hapo nimebaki na mabaka usoni hadi kupiga picha naogopa.
Nilikuja hapa nikapewa ushauri na dada flani Hivi nitumie Young forever, nilifanya hivyo lakini sikupata matokeo mazuri.
Naomba msaada wenu kwa anayefahamu njia nzuri ya kuondoa mabaka, Mimi ni mwanaume kwahyo isiwe cream.
Nasubiri positively comments