Msaada kuna ndugu yangu ni mtumishi wa serikali anaitaji kuhama yupo Ruvuma anaitaji kurudi Dar

Kuna raia michango Yao ni 🚮🚮🚮

mtu anasema ana matatizo ambayo yapo nje ya uwezo wake ndio maana anataka kuhamia dar watu wanamtolea kauli za ajabu ajabu .....
Hii inadhihirisha ni Kwa kiasi Gani tuna roho za chuki, husda, dharau, nk...
Mfano akihama ama asipohama wewe/Mimi/yule tunadhurika? tunapata hasara Gani? inatuongezea Nini kwenye familia zetu na maisha yetu?? Inatupunguzia Nini kwenye maisha yetu? 🤷

Je huu ni uungwana ? La hasha huu si uungwana ..
 
Utumishi wa umma ngazi ya Halmashauri ni UTUMWA.

Na nchi Sasa hivi haina dira Wala taratibu Wala mfumo.

Iko zig zag.

Mambo yanafanyika kwa lobbying, connection na network.
 
Kuna raia michango Yao ni

mtu anasema ana matatizo ambayo yapo nje ya uwezo wake ndio maana anataka kuhamia dar watu wanamtolea kauli za ajabu ajabu .....
Hii inadhihirisha ni Kwa kiasi Gani tuna roho za chuki, husda, dharau, nk...
Mfano akihama ama asipohama wewe/Mimi/yule tunadhurika? tunapata hasara Gani? inatuongezea Nini kwenye familia zetu na maisha yetu?? Inatupunguzia Nini kwenye maisha yetu?

Je huu ni uungwana ? La hasha huu si uungwana ..

Kaka wengi ni wapuuzi kwakua wanachukulia vitu easy tu
 
Aachane na hiyo kazi inayomkosesha amani ya moyo na kumnyima raha ajaribu maamuzi yake ya kuipenda Dar.
 
Back
Top Bottom