Msaada kuna ndugu yangu ni mtumishi wa serikali anaitaji kuhama yupo Ruvuma anaitaji kurudi Dar

Jan 27, 2017
61
33
Ni HR wa halmashauri ya mabada songea anaomba ahamie dar na aim yake kwenye taasisi yoyote ya serikali Amefanya kazi Uko alipo miaka minne msaada ndugu zangu
Kama una connection yoyote Naomba Tafadhali
 
Habari umeongea vizuri sana lakini mtu anahama mahali kwa matatizo binafsi sometime usiangalie kitu kwa negative siku njema
Inawezakana wewe ndiye umeniangalia kihasi sema kwaa asili ya ubongo wetu huwezi jua kuwa wewe ama mie ndio Niko Hadi kila mtu anajiona you sahihi
 
HR hajui utaratibu wa uhamisho, iwe kihalali au kimchongo tena ana miaka 4 kazini huyo ni takataka.

Nyaraka zote za uhamisho ziko mezani kwake, mwambie aje peramiho.
 
Ni HR wa halmashauri ya mabada songea anaomba ahamie dar na aim yake kwenye taasisi yoyote ya serikali Amefanya kazi Uko alipo miaka minne msaada ndugu zangu
Kama una connection yoyote Naomba Tafadhali
Sasa,nani ndiyo akae Ruvuma?Kuchaguachagua vitu kutawagharimu.Nina la kumuelimisha.
 
Back
Top Bottom