Msaada: Kuna mtu amehack simu yangu

Msaada: Kuna mtu amehack simu yangu

Hili Janga liiliwahi nitokea na nililipoti hapa JF,

kwangu mm issue ilikuwa mdogo mtu(kike) anataka niachane na dada ake,

so alikuwa anapata each and everything ninavyo fanya kwa sim,yaaini mail,whatsapp,viber,yahoo na msg plus voice..

Kuna siku nilibadili pass ya Gmail baada ya kushauriwa na wana JF,nilivyo badili to Pass alinitumia sms ilisema hivi(hahhahahaha umebadili pass,chezea it ww),nilitamani nimuuwe.

alikuwa nafanyaye?
Kwanza alikuwa anashirikiana na jamaa wa usalama ambaye alikuwa ubakozi wa Misri Tz

Huyo jamaa anakifaa mfano wa sim,kimetengenezwa japani, lengo la hicho kifaa ni for security issues,maani kinaweza kusensi kama mtu anasilaa akiwa umbali flani,pia kwa ajili ya upelelezi,hicho kifaa ukimpa namba ya mtu yeyote kina vuta inf zote kwa hiyo sim pamoja contact zote sms calender issue nk,hata uwe na sim ya kitochi,

Baada yakuwa na inf zako zote kinakuwa kinasave each and every thing unacho fanya kwa sim,pia sim yako inakuwa ipo kiganjani kwake anweza mcall mtu yeyote amtakae,hata amtukane itaonekan ni ww ndio umefanya hivyo.

Nilijuaje?

Nilihangaika sana na apps za kwa mitandao, hata kuna apps unalipia kama laki 250,kwa mwezi niliitumia,

Hi apps nimeisahau jina ila naweza kukutafutia,ina act kama untvirus,inakutell how inf zako zinavyo populated..

basi tangia hapo jamaa akajua kuwa kunasomething wrong.so nahisi kwa heshima ya kazi yake akaachana na namba zangu.

Akanipa na mbinu kuwa nikitaka nikikomeshi hicho kishem changu ninunue HUWEI P8,hii sim ni baala,

Yule jamaa na shem wangu now nimarafiki sana tu..

So mkuu kama anatumia mbinu hii ww nenda kanunue huawei.

Loooh! Asante Mkuu
 
Turn of data sync

Turn off location.
hii ni kwa ajili ya kuzima gps tracker kama imehifadhiwa kwenye simu yako

Turn off background application.
ni zile ambazo zina ji-run pale tu simu yako unapoiwasha.
Hivyo app zinazo track mawasiliano ya watu huwa zipo katika mfumo wa kuji- run automatic.

Nenda kwenye manage app, kisha tizama app in process Hapo utaona app zote zinazofanya kazi kwa wakati huo. kama kuna app inayotrack mawasiliano yako hapo ndipo utakapoiona.

Asante Mkuu nimepata application imesaviwa kama mobile tracker lakini hakuna sehemu naweza uninstall wala kudelete hata nikiforce stop bado inaendelea kurun
 
Asante Mkuu nimepata application imesaviwa kama mobile tracker lakini hakuna sehemu naweza uninstall wala kudelete hata nikiforce stop bado inaendelea kurun
Nenda setting,app,running,then itafute huko utapata pa ku unstall
 
Hivi unaweza kuhack no ya mtu bila kutumia cm yake kuinstall no yake
 
Sasa kama kila unachofanya kwenye simu wanaelewa si hata hii post yako ameshasoma na a aendelea kusoma hizo comments?

Kutokana na hayo unadhani njia mpya tutakayokupa una uhakika gani hataifaham na UTACHOMOKA kweli? @rubii
 
Asante Mkuu nimepata application imesaviwa kama mobile tracker lakini hakuna sehemu naweza uninstall wala kudelete hata nikiforce stop bado inaendelea kurun
uNatumia sim gani?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Asante Mkuu nimepata application imesaviwa kama mobile tracker lakini hakuna sehemu naweza uninstall wala kudelete hata nikiforce stop bado inaendelea kurun
remove SmartApplock kwenye simu yako kisha uendelee na hatua uliyokuwa umefikia
 
Sasa kama kila unachofanya kwenye simu wanaelewa si hata hii post yako ameshasoma na a aendelea kusoma hizo comments?

Kutokana na hayo unadhani njia mpya tutakayokupa una uhakika gani hataifaham na UTACHOMOKA kweli? @rubii

Ingekua wewe ungelifanyaje Ndugu??
 
Umefanya nlivyo kuelekeza rubii???

Kwakweli nimehangaika kila njia niliyoelekezwa nimeshindwa na amegundua nahangaika labda nikarenew namba tu
 
Asante Mkuu nimepata application imesaviwa kama mobile tracker lakini hakuna sehemu naweza uninstall wala kudelete hata nikiforce stop bado inaendelea kurun
Niliwahi kudownload application na baada ya kuidownload ilikataa kuunistall lakini baada ya kuhangaika sana nilipata. Kama sikosei nenda kwenye sehemu ya running apps utaiona na hapo itakubali kuiuninstal
 
Nenda setting,app,running,then itafute huko utapata pa ku unstall
Yeah nilishakutana na kitu kama hicho ilinihangaisha sana lakini kama ulivyosema nilifanikiwa kwa njia hiyo.
 
settings>app manager> utaona list ya apps zote kwenye simu yako, then click ktk hiyo mobile tracker then uninstall
 
fanya factory reset ndo kiboko yake kuna app atakua ameweka kwenye cm yako kwa siri na zipo kibao tu playstore
 
settings>app manager> utaona list ya apps zote kwenye simu yako, then click ktk hiyo mobile tracker then uninstall
Kwa hapo kama ameificha utaiona tu lakini hutaweza kuiunistall maana hakuna option ya kufanya hivyo. Aende kwenye running apps ndio ataweza kuiunistall.
 
Kwa hapo kama ameificha utaiona tu lakini hutaweza kuiunistall maana hakuna option ya kufanya hivyo. Aende kwenye running apps ndio ataweza kuiunistall.
kama iwefichwa then atafute hidden apps, ndo maana nilimuuliza anatumia simu aina gani lakini yupo kimya
 
Back
Top Bottom