Msaada: Kuna mtu amehack simu yangu

Msaada: Kuna mtu amehack simu yangu

Hii issue imekuwa nyeti sana siku hizi,juzi juzi kuna mshikaji wangu amelizwa $12,000 kupitia mtandao.
Alifanya payment kwa watu walio hack simu yake bila kujua kwa kuingilia mawasiliano yake na tajiri aliyekuwa UK.
 
kama iwefichwa then atafute hidden apps, ndo maana nilimuuliza anatumia simu aina gani lakini yupo kimya
Anaweza kuwa amepanic kidogo maana anasema kuwa amejaribu kila namna na anaona aliyefanya hivyo ameshagundua kuwa anahangaika.
 
Habari zenu wapendwa.
Mwenye uelewa wa nini chakufanya anisaidie jamani
Napiga simu nayeye anapata taarifa yote
Msg zangu anauwezo wa kuzisoma na kujibu yeye zote za kawaida na whatsapp pia
Hata location yangu anaijua kila ninaposogea.
kwenye whatsaap ukiingia kwenye menu utaona whatsaap web, fungua hiyo alafu delete chochote kinachoonekana inatakiwa pawe barcode scanner iwe ina read.
 
Smart App Lock

Ni application ya simu za Android inayotumika katika ulinzi wa simu husika.

Smart App Lock ina features 2..
1. Lock Screen
Hii inasaidia kuweka password kwenye app, files, sms & calls nk.

2. Application protection
Hii inakuwa na uwezo wa kuweka app pasword & kuzilinda ili mtu asiweze kuzi unistall kirahisi.

Hii option ya pili inamlazimu muhusika a download program yao ambayo itaji run kama Device manager.

Mtu anapofanya installation ya hiyo program itamaanisha kuwa "hatoweza kufuta app yoyote iliyo kwenye uangalizi wa SmartAppLock bila ya kuwa na password iliyotumika iliyowekwa kwenye kulinda app husika.

kama mtu atakuwa ame install kwa makusudi au bahati mbaya fuata njia hapa chinig

setting>security>device admn>uncheck'smart app lock' 'CM' kisha restart simu yako..

Baada ya hapo app zote zilizokuwa protected zitakuwa hazina ulinzi tena.
 
Last edited:
KTE="rubii, post: 15008057, member: 275369"]Kwakweli nimehangaika kila njia niliyoelekezwa nimeshindwa na amegundua nahangaika labda nikarenew namba tu[/QUOTE]
Some times hacking inafanyika kwenye cm so hata ukweka line nyingine atatumia taarifa tu na atatumiwa na namba mpya uliyo eka na tracking itabaki palepale jaribu kubadili cm wakati unendelea kutafuta suluhu maana kama kaweka app kwa cm yako hata ukibadili line haita saidia inshu hapo iliyo sajiliwa na cm through IMEI number

Badili cm then tafuta suluhu iwa cm yako hiyo ikiwezekana kama tukijua ni aina gani unaweza fanya datawipe ila fanya backup kwanza kwa sms, na contact , usibackup application s coz zitarud tena,

Kwa simu nyingi lufanya data wipe una press and hold powe up + volume - ( hutegemea na cm zingine ni power + volume + then utatumia hizo hizo volume up and down kushusha kwenye data wipe ila hapo itafuta kila kitu kweye os na kubaki kama ulibvyo inunua , then ndio uta restore contact zako na sms zote .
 
Some times hacking inafanyika kwenye cm so hata ukweka line nyingine atatumiwa taarifa tu na atatumiwa na namba mpya uliyo eka na tracking itabaki palepale jaribu kubadili cm wakati unendelea kutafuta suluhu maana kama kaweka app kwa cm yako hata ukibadili line haita saidia inshu hapo iliyo sajiliwa na tracking app ni cm through IMEI number

Badili cm then tafuta suluhu iwa cm yako hiyo ikiwezekana kama tukijua ni aina gani unaweza fanya datawipe ila fanya backup kwanza kwa sms, na contact , usibackup application s coz zitarud tena,

Kwa simu nyingi lufanya data wipe una press and hold powe up + volume - ( hutegemea na cm zingine ni power + volume + then utatumia hizo hizo volume up and down kushusha kwenye data wipe ila hapo itafuta kila kitu kweye os na kubaki kama ulibvyo inunua , then ndio uta restore contact zako na sms zote
 
Kwa hapo kama ameificha utaiona tu lakini hutaweza kuiunistall maana hakuna option ya kufanya hivyo. Aende kwenye running apps ndio ataweza kuiunistall.

Nimeshafanya hivyo hakuna option ya kuiunistall inaataka uforce stop, inapotea kwa mda nikiangalia tena naikuta na inahesabu namba kwa dakika ikifika dk 1 inaanza tena 0
zaidi ya mara 10 nimejaribu
 
Kwa hapo kama ameificha utaiona tu lakini hutaweza kuiunistall maana hakuna option ya kufanya hivyo. Aende kwenye running apps ndio ataweza kuiunistall.

Huko ndo haitaki hata kufunguka
running application imegoma inataka niforce stop
 
Some times hacking inafanyika kwenye cm so hata ukweka line nyingine atatumiwa taarifa tu na atatumiwa na namba mpya uliyo eka na tracking itabaki palepale jaribu kubadili cm wakati unendelea kutafuta suluhu maana kama kaweka app kwa cm yako hata ukibadili line haita saidia inshu hapo iliyo sajiliwa na tracking app ni cm through IMEI number

Badili cm then tafuta suluhu iwa cm yako hiyo ikiwezekana kama tukijua ni aina gani unaweza fanya datawipe ila fanya backup kwanza kwa sms, na contact , usibackup application s coz zitarud tena,

Kwa simu nyingi lufanya data wipe una press and hold powe up + volume - ( hutegemea na cm zingine ni power + volume + then utatumia hizo hizo volume up and down kushusha kwenye data wipe ila hapo itafuta kila kitu kweye os na kubaki kama ulibvyo inunua , then ndio uta restore contact zako na sms zote

Asante ndugu.
natumia samsung j
 
Nimeshafanya hivyo hakuna option ya kuiunistall inaataka uforce stop, inapotea kwa mda nikiangalia tena naikuta na inahesabu namba kwa dakika ikifika dk 1 inaanza tena 0
zaidi ya mara 10 nimejaribu
Setting>security>device Admn> Uncheck smartapp lock & cm security , kisha nenda kwenye app manager u unistall mobile tracker
 
Asante ndugu.
natumia samsung j
Switch off the cell phone. Then hold and press 3 keys: Volume Up + Home button + Power button. Next release all keys, when Samsung logo appear. Select option "wipe data/factory reset" using Volume Down button, and confirm with Power button.
 
Hili Janga liiliwahi nitokea na nililipoti hapa JF,

kwangu mm issue ilikuwa mdogo mtu(kike) anataka niachane na dada ake,

so alikuwa anapata each and everything ninavyo fanya kwa sim,yaaini mail,whatsapp,viber,yahoo na msg plus voice..

Kuna siku nilibadili pass ya Gmail baada ya kushauriwa na wana JF,nilivyo badili to Pass alinitumia sms ilisema hivi(hahhahahaha umebadili pass,chezea it ww),nilitamani nimuuwe.

alikuwa nafanyaye?
Kwanza alikuwa anashirikiana na jamaa wa usalama ambaye alikuwa ubakozi wa Misri Tz

Huyo jamaa anakifaa mfano wa sim,kimetengenezwa japani, lengo la hicho kifaa ni for security issues,maani kinaweza kusensi kama mtu anasilaa akiwa umbali flani,pia kwa ajili ya upelelezi,hicho kifaa ukimpa namba ya mtu yeyote kina vuta inf zote kwa hiyo sim pamoja contact zote sms calender issue nk,hata uwe na sim ya kitochi,

Baada yakuwa na inf zako zote kinakuwa kinasave each and every thing unacho fanya kwa sim,pia sim yako inakuwa ipo kiganjani kwake anweza mcall mtu yeyote amtakae,hata amtukane itaonekan ni ww ndio umefanya hivyo.

Nilijuaje?

Nilihangaika sana na apps za kwa mitandao, hata kuna apps unalipia kama laki 250,kwa mwezi niliitumia,

Hi apps nimeisahau jina ila naweza kukutafutia,ina act kama untvirus,inakutell how inf zako zinavyo populated..

basi tangia hapo jamaa akajua kuwa kunasomething wrong.so nahisi kwa heshima ya kazi yake akaachana na namba zangu.

Akanipa na mbinu kuwa nikitaka nikikomeshi hicho kishem changu ninunue HUWEI P8,hii sim ni baala,

Yule jamaa na shem wangu now nimarafiki sana tu..

So mkuu kama anatumia mbinu hii ww nenda kanunue huawei.
Mkuu ngoja nikutafute
 
Habari zenu wapendwa.
Mwenye uelewa wa nini chakufanya anisaidie jamani
Napiga simu nayeye anapata taarifa yote
Msg zangu anauwezo wa kuzisoma na kujibu yeye zote za kawaida na whatsapp pia
Hata location yangu anaijua kila ninaposogea.
Anakupenda huyo, hataki kuibiwa
 
Pole sana. Huyo kiumbe Hana ustaarabu kabisa. Ukishamjua na kujua namna ya kutatua tatizo, usisahau kumpeleka police
Kesi kama hizo huwa haziendi Polisi, mambo ya wapenzi kuchunguzana mnapeleka Polisi, kweli polisi labda wamekosa kazi.
 
Asante mpendwa.
Yaani sijui ananitafuta nini au ametumwa na nani na ana mpango gani namimi maana si jambo la kawaida.
Huyo ni mtu mwenye access na simu yako kabisa kabisa
 
Back
Top Bottom