Ok aksanteNenda posta jirani na NBC Bank ukiwa unatokea central Police unaanza kukutana na Ecobank au wapigie simu wakuelekeze vizuri
Nadhani ni kinondoni makaburini njia hiyo ulizia kama upo maeneo ya mbezi na mwenge wapo jirani na sokoniHabari wakuu, kama kichwa cha habari kinavyoonesha, Nilikuwa naomba Kwa mwenye kufahamu makao Yao hawa Watu Kwa hapa TANZANIA na utararibu wa receive pesa iliyotumwa kutoka nje ya Nchi.
Atakuwa anaongelea tx market.